Invisible na Familia yake alipokuwa mdogo

Hahahaha, Shkamoo Uncle Kaizer! How I miss you!
Mbona naskia Anti yuko humo kwenye picha pia?
Mwenyewe kasema alikua anam-babysit X-PASTER
(Nyuma ya Invisible, kakutanisha mikono, na t-shirt ndefu)


Mwali,How I miss you my nephew......halafu leo umpendezaje usicheze na ile mitoto ya jirani ina tabia mbaya...umenisikia eeh?
Anti yako enzi hizo, alishajifunza kulea ndo maana hata mimi hapati shida kunipeti peti kama mtoto lol
 
9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom