Invisible na Familia yake alipokuwa mdogo

Msione RUSSIAnRoullete amependeza ametoka mbali huyu............enzi hizo kwenye mchezo wa kujificha mnamaliza mambo..........LOh loh! ni mod huyu naogopa ban
 
Last edited by a moderator:
Fang mbona una makusudi? Kila siku unatumia lugha ngumu. Kiinglish chako ili niambulie lazima niwe na oksifodi pembeni. Sasa uponena kwa lugha namna hii si mpaka apatikane mkalimani?


Madame RussianRoulette, je peux demander un rendez vous par force juste pour le contact'
 
Last edited by a moderator:
Hii sredi sio ya kuchangia ovyo ovyo. apa macho ya wenye nyumba yote yako hapa!
Hahahaha, Shkamoo Uncle Kaizer! How I miss you!
Mbona naskia Anti yuko humo kwenye picha pia?
Mwenyewe kasema alikua anam-babysit X-PASTER
(Nyuma ya Invisible, kakutanisha mikono, na t-shirt ndefu)
 
Last edited by a moderator:
Naona wiki hii ilikua wiki ya kuwacheka mods. Mara they are hot ( Erotica) , mara wamekimbia maandamano ( EMT), mara picha zao za utotoni hizi... nyie endeleeni tu. Mamba akikuonesha meno haina maana kua anakuchekea. lol ( Fang, have you seen this? wewe ndie yule anae expose "machine"?)

I can assure you this revolution will not be televised.

Hii sredi sio ya kuchangia ovyo ovyo. apa macho ya wenye nyumba yote yako hapa!

Kaka hata mtoto wa Gaddafi Saif al-Islam alisema atapigana na kufia Tripoli lakini alikuja kukamatwa akiwa wapi?
Hapa watakimbia wenyewe.

Invisible na familia yake wakimoderate JF. Wengine wajitambulishe wenyewe kabla hatujawataja.
Chezea ban hapo. kwa staili hii naona tuombe kabisa Mods no-fly-zone in Chitchat.

tribal-people-playing-on-a-laptop.jpg
 
Back
Top Bottom