Invisible na Familia yake alipokuwa mdogo

utoto raha sana, angalia mmoja hapo mbele, ustawi wote uko nje lakini yeye anaona poa tu.....
 
Mimi kunitambua ni rahisi.... Nimevaa gauni la blue, ndie nilikua baby sitter wa kina Invisible na Cookie. Enzi hizo mda huo tayari mchumba nisha tafutiwa. lol. Mbabu alikua na ndevu kama za Osama.

Blaki Womani na Mzalendo80 nimefurahi kuwaona wapendwa.... Naamini weekend ilikua ni njema kwenu na wapendwa wenu.

Baby sitter wewe ulikuwa poa sana sema "anko madevu" alikuwa anatuonea sana AshaDii
 
Last edited by a moderator:
Naona wiki hii ilikua wiki ya kuwacheka mods. Mara they are hot ( Erotica) , mara wamekimbia maandamano ( EMT), mara picha zao za utotoni hizi... nyie endeleeni tu. Mamba akikuonesha meno haina maana kua anakuchekea. lol ( Fang, have you seen this? wewe ndie yule anae expose "machine"?)
 
Madame RussianRoulette hapo kwenye red pameniogopesha lol
Kumbe kuna mamba? Ngoja nilale zangu!
BTW:Mzima?
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Hahahaha, Fang, let's sort our pending issues on PM before we think of a date, shall we? hahaha.

Mi mzima kabisa. Hao mamba wanajulikana, mi mjusi tu katika msafara wao...
Hahahahaaaa RussianRoulette umenimecheka kiukweli Dah
Halafu Fang kakugongea like....Lol sijui na yeye ni nanii au yuko nawewe kwenye kundi lako...Teh
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom