Invisible na Familia yake alipokuwa mdogo

Mzalendo80

JF-Expert Member
Oct 30, 2010
2,508
1,338
Huyo mwenye flana nyekundu ambaye ameshika fimbo ni Invisible a. k.a Robotics

picccccc.JPG
 
Invisible atakuja sasa hivi kujiona jinsi alivyokuwa mdogo!!!! Uzi huu nao una 50% ya kuishi hapa JF.
 
Hahahahaaaa kwa hapo pia nataka kumwona rejao nijue km pua alizaliwa nayo au kaipatia ukubwani
 
Lizzy yupo wapi hapo? Nadhani ni huyo wa pili kulia, kama anajificha kimtindo! Dah!
 
Back
Top Bottom