Invisible acha dharau...

Status
Not open for further replies.
nawajua wote hao na nawaheshimu ila sijaelewa unamaanisha nini,sipo hapa kushndana nipo kubadilishana na wenzangu v2 mbalmbl..walikufanyia mulwahada nini hao?

kwanza acha kuandika vifupisho vya facebook/wanavyotumia watoto wa form IIB, halafu tutaendelea kuongea.
 
mkuu vuta subira.invisible yupo week end! Anaingia mzigoni kesho alfajili kaka!!
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom