Invisible acha dharau...

Status
Not open for further replies.

matumbo

JF-Expert Member
Jul 9, 2011
7,225
3,944
We jamaa acha dharau nimekutumia Pm juu ya suala la msingi sana kwa uwepo wangu hapa Jf,ila mpaka hivi sasa kimya ata jibu lolote hunipi..ayo sio mambo mchizi wangu,izo habari za kujiskia kavu sana..
We mwenyewe unajua mchango wangu humu jamvini na heshima ninayopewa na memba wote humu,yote sababu ya umakini,busara,ufahamu na intelligence yangu..au jf ina wenyewe?
 
leo week end inawezekana jamaa yupo busy na mambo mengine maana yeye ana majukumu ya kila siku kama binadamu, usilaumu sana mkuu
 
leo week end inawezekana jamaa yupo busy na mambo mengine maana yeye ana majukumu ya kila siku kama binadamu, usilaumu sana mkuu

mi simlaumu mkuu,nampa ukweli ..mambo ya wikendi ata kujibu pm tu!
 
subira ya vuta heri kama umetuma leo inawezekana hayupo kwenye mtandao kutokana na majukumu ya j2 subiri hadi kesho ndipo uanze malalamiko pole
 
Mie siku nyingi nachora tu mambo yanayovokwenda kuna day ntaharibu humu mpaka nchi nzima inichukie..
 
mmmmmh, naona wiki hii ni ya invisible.
Ame-make headlines sana utadhani Magufuli alivyofungua mwaka.

Hebu pumuzisheni mitu hii.
 
Kama ni moderation problem naomba umtumie mod mngine hatua zichukuliwe.
Kama ni Administrative problem vuta subira, he will respond on time.
What ever your decision naomba utumie lugha nzuri, unako nywea leo hapakufai.
 
Mie siku nyingi nachora tu mambo yanayovokwenda kuna day ntaharibu humu mpaka nchi nzima inichukie..

jaribu kama wewe ni wa ukweli.
Unamtisha nani sasa? Invizibo, sisi au nani exactly.....utaharibu nini....kwa lipi?

Ukitaka support ya moderators, tuma email kwenda support@jamiiforums.com, at any time of the day utapata response kama jambo husika linawezekana. Sasa wewe umem-PM, na unalalamika....na kwa nini unataka invizibo peke yake? Mods wapo kibao tu!!

Use a bit of weekend common sense!!
 
..bana weee!hebu log out ukalale bana!unalazimasha sana "attention"..yani we uwe na heshima hapa jf kuliko mwanakijiji?kuliko Game Theory?....

potea zako bwana
 
ha ha ha ha Matumbo bwana kwa mikwala!......Yani unifurahisha kwa mood uliyonayo leo. Kama vipi jilipue tu mwanangu, sie tutazoa majivu na kuyazika!
 
Kama ni moderation problem naomba umtumie mod mngine hatua zichukuliwe.
Kama ni Administrative problem vuta subira, he will respond on time.
What ever your decision naomba utumie lugha nzuri, unako nywea leo hapakufai.

rr, we mwache aendelee kuweka 'made in manzese' halafu atajisikia hapa ni kwa mama muuza.....,hapo ndo umnyooshe apate akili
 
..bana weee!hebu log out ukalale bana!unalazimasha sana "attention"..yani we uwe na heshima hapa jf kuliko mwanakijiji?kuliko Game Theory?....

potea zako bwana

hahahahahaaaa.....eti heshima.....anamjua Enigma? ...aka kainzi? Huyu anamjua kiranga asiyejua Mungu ni nani huyu?
 
jaribu kama wewe ni wa ukweli.
Unamtisha nani sasa? Invizibo, sisi au nani exactly.....utaharibu nini....kwa lipi?

Ukitaka support ya moderators, tuma email kwenda support@jamiiforums.com, at any time of the day utapata response kama jambo husika linawezekana. Sasa wewe umem-PM, na unalalamika....na kwa nini unataka invizibo peke yake? Mods wapo kibao tu!!

Use a bit of weekend common sense!!

mods wengine siwajui,namjua invisible na paw tu.uyu paw ndio usiseme,yani yeye umu ni kufuta post za watu zisizomfulaisha ndio anachojua,aangalii ata uzito wa post.
 
..bana weee!hebu log out ukalale bana!unalazimasha sana "attention"..yani we uwe na heshima hapa jf kuliko mwanakijiji?kuliko Game Theory?....

potea zako bwana

bwana mdogo watch out ya venacular!ntakuharibia nina hasira sana..sipendi dharau
 
pingu ya leo kali
naomba ya mia 200, niondoke
nshaona hapa funda moja tu...
 
hahahahahaaaa.....eti heshima.....anamjua Enigma? ...aka kainzi? Huyu anamjua kiranga asiyejua Mungu ni nani huyu?

nawajua wote hao na nawaheshimu ila sijaelewa unamaanisha nini,sipo hapa kushndana nipo kubadilishana na wenzangu v2 mbalmbl..walikufanyia mulwahada nini hao?
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom