Invalid MMI code/MMI code canceled kwenye simu za Android

Uzazi wa Mpango

JF-Expert Member
Apr 4, 2012
1,382
1,232
Salama wana jamvi? nina simu yangu aina ya NTTdocomo(product ya LG) Android OS inaleta error sms wakati wakuuliza salio,kuingiza salio pamoja na ku-access huduma za pesa za mitandao inasema 'Invalid MMI code' naomba nisaidieni kwa mwenye ufumbuzi wa hili tatizo
 
thanx kaka kwa kunipa hiyo link but kiukweli bado sijaelewa jinsi ya kuondoa hilo tatizo, kama kuna mtu amekutana na hili tatizo na ame-solve naomba msaada wenu wakubwa.
 
Tatizo ilo nilakawaida toa line na kurudishia tena nadhan baada ya mda mchache itakaa sawa nadhan mda ikifanya ivo ata ukipigiwa uwez pokea cm cindio
 
Back
Top Bottom