Intonation ya Kiswahili imebadilika?

Dingswayo

JF-Expert Member
May 26, 2009
4,019
2,923
Nimekuwa nikisikia siku hizi, kutoka kwa vijana, hasa wakina dada, kuwa utamkaji (lafudhi), (intonation) ya Kiswahili wao ni tofauti na wakati uliopita. Nikisikiliza Kiswahili, hasa kutoka kwa wale wa mijini (Dar?) nasikia Kiswahili kingine, pale ambapo maneno fulani yanavutwa zaidi. Mfano ni neno 'sana', nasikia wanatamka 'sa, aana'. Je huo ni mtindo mpya wa kuongea siku hizi? Je kuongea huko kunamuonyesha mzungumzaji kuwa anatoka kwenye jamii fulani, kwa mfano msomi, ameendelea, mtu wa mjini au vipi? Naomba kufahamishwa!

Mfano ni huyu dada anavyoongea:

 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom