Interview

Bukayo jr

JF-Expert Member
Mar 24, 2011
2,782
1,638
[h=6]Vijana wawili katika harakati za kutafuta kazi, waliingia kwenye quiz ya kuongea, marafiki wawili hao walikuwa wakisaidiana mambo mbalimbali ya kimaisha walikubaliana aingie mmoja ambaye yuko vizuri kichwani ili akitoka ampatie mwenzie majibu.
Kwakuwa muda ulikuwa mdogo sana na watahiniwa walishagundua kuwa maswali yalikuwa yakijirudia basi yule jamaa aliyeingia wa kwanza alipotoka akaamua kumpatia mwenzie majibu tu.
SWALI LA 1 KUTOKA KWA MWAJIRI: WHEN WAS TANZANIA INDEPENDENCE?
JIBU LA BRIGHT STUDENT: IT WAS SUPPOSED TO BE 1960 BUT IT POSTPONED TO 1961 DUE TO MANY REASONS.
SWALI LA 2 KUTOKA KWA MWAJIRI: WHO BROUGHT INDEPENDENCE?
JIBU LA BRIGHT STUDENT: SO MANY PERTICIPATED BUT IT WAS MWALIMU NYERERE AND KAWAWA WHO FINALISED IT.
SWALI LA 3 KUTOKA KWA MWAJIRI: IT BELIEVES THAT IN MARS THERE ARE LIVING THINGS, DO YOU BELIEVE?
JIBU LA BRIGHT STUDENT: SOME SAY YES, SOME SAY NO BUT SCIENTISTS ARE STILL INVESTIGETING.

Sasa alipoingia yule kijana ambaye uwezo wake darasani haukuwa mzuri na kwakuwa alikuwa amekariri majibu tu ilikuwa ni patashika humo ndani ya chumba cha mtihani.
SWALI LA 1 KUTOKA KWA MWAJIRI: WHEN WERE YOU BORN?
JIBU LA STUDENT MJINGA: IT WAS SUPPOSED TO BE 1960 BUT POSTPONED TO 1961.
SWALI KUTOKA KWA MWAJIRI: WHAT?!!!!!!!!!!! WHO IS YOUR FATHER BY THE WAY?
JIBU LA STUDENT MJINGA: SO MANY PERTICIPATED BUT IT WAS MWALIMU NYERERE AND KAWAWA WHO FINALISED IT.
SWALI LA 3 KUTOKA KWA MWAJIRI: OHHHHHH MY GOD! ARE YOU CRAZY?
JIBU LA STUDENT MJINGA: SOME SAY YES, SOME SAY NO BUT SCIENTISTS ARE STILL INVESTIGETING.

[/h]
 
[h=6][FONT=comic sans
ms]Vijana wawili katika harakati za kutafuta kazi, waliingia
kwenye quiz ya kuongea, marafiki wawili hao walikuwa wakisaidiana mambo
mbalimbali ya kimaisha walikubaliana aingie mmoja ambaye yuko vizuri
kichwani ili akitoka ampatie mwenzie majibu.
Kwakuwa muda ulikuwa mdogo sana na watahiniwa walishagundua kuwa
maswali yalikuwa yakijirudia basi yule jamaa aliyeingia wa kwanza
alipotoka akaamua kumpatia mwenzie majibu tu.
SWALI LA 1 KUTOKA KWA MWAJIRI: WHEN WAS TANZANIA INDEPENDENCE?
JIBU LA BRIGHT STUDENT: IT WAS SUPPOSED TO BE 1960 BUT IT POSTPONED TO
1961 DUE TO MANY REASONS.
SWALI LA 2 KUTOKA KWA MWAJIRI: WHO BROUGHT INDEPENDENCE?
[/FONT] JIBU LA BRIGHT STUDENT: SO
MANY PERTICIPATED BUT IT WAS MWALIMU NYERERE AND KAWAWA WHO FINALISED
IT.
SWALI LA 3 KUTOKA KWA MWAJIRI: IT BELIEVES THAT IN MARS THERE ARE
LIVING THINGS, DO YOU BELIEVE?
JIBU LA BRIGHT STUDENT: SOME SAY YES, SOME SAY NO BUT SCIENTISTS ARE
STILL INVESTIGETING.

Sasa alipoingia yule kijana ambaye uwezo wake darasani haukuwa mzuri na
kwakuwa alikuwa amekariri majibu tu ilikuwa ni patashika humo ndani ya
chumba cha mtihani.
SWALI LA 1 KUTOKA KWA MWAJIRI: WHEN WERE YOU BORN?
JIBU LA STUDENT MJINGA: IT WAS SUPPOSED TO BE 1960 BUT POSTPONED TO
1961.
SWALI KUTOKA KWA MWAJIRI: WHAT?!!!!!!!!!!! WHO IS YOUR FATHER BY THE
WAY?
JIBU LA STUDENT MJINGA: SO MANY PERTICIPATED BUT IT WAS MWALIMU NYERERE
AND KAWAWA WHO FINALISED IT.
SWALI LA 3 KUTOKA KWA MWAJIRI: OHHHHHH MY GOD! ARE YOU CRAZY?
JIBU LA STUDENT MJINGA: SOME SAY YES, SOME SAY NO BUT SCIENTISTS ARE
STILL INVESTIGETING.

[/h]

Ipo safi,ime2lia!
 
Nimecheka kabla hata ya kusoma comment za wengine! Lete nyingine basi!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom