Interview

imma.one

JF-Expert Member
Sep 10, 2011
542
37
Hi wana jf.
Hivi kwenye interview ni bora ukawa wa kwanza kufanyika au wa mwisho na kwanini?
I mean (faida ziko upande upi)
 
hivi bado kuna interview siku hizi..mimi nimepewa kazi kwa ki-MEMO...so sina uzoefu na interviews
 
hivi bado kuna interview siku hizi..mimi nimepewa kazi kwa ki-MEMO...so sina uzoefu na interviews

KAMA HUNA UZOEF SI UKAUSHE MKUU!!PIA KUNYAMAZA NI BUSARA!!!
Nway mdau nahisi ukiwa wa kwanza ni njema zaid coz humanity n consideration inakuwepo kwa upande wa panel
 
Hi wana jf.
Hivi kwenye interview ni bora ukawa wa kwanza kufanyika au wa mwisho na kwanini?
I mean (faida ziko upande upi)
inategemea na wewe una confidence kiasi gani...kama unajiamini, kauze sera wa kwanza...nenda ka-set standard za kuwalinganishia wenzako, kama huna confidence we bora uwasubiri wachoke kwanza then ukiingia na wewe ujione ulifanya interview ila watu wao walishawapata kitambo!!! there is always an advantage in goin first....am nat sure abt goin last
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom