Interview T-Marc Tanzania & udom

mziranda

Member
Nov 10, 2011
27
7
jamani naulizia vipi wale tuliofanya written interview UDOM wameshaita watu kwa ajili ya Oral..?? na T-Marc Tanzania nao vipi wadau..??? nipeni taarifa..sijielewi!
 
UDOM bado nadhani, ila T-marc sijui au ndio tayri imekula kwanguuuuuuu....???? kwani huchukua mda gani kwa watu kuitwa kwenye Interview baada ya deadline ya tangazo la kazi..???
 
T-Mark walinipigia ijumaa(0900) wakaniambia niende by 0930-1000 kwa interview ,nilijaribu kuomba siku nyingine nikaambiwa directors wake (wametoka UK) wanaondoka kesho yake ijumaa...nilifika town 1100am nikaona ishakula kwangu...
 
jamani naulizia vipi wale tuliofanya written interview UDOM wameshaita watu kwa ajili ya Oral..?? na T-Marc Tanzania nao vipi wadau..??? nipeni taarifa..sijielewi!

tayari mtu keshasaini kandarasi ya u director wa operations hapo tmarc ni mshkaji wangu...6.5m gross montly salary...ushanifahamu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom