interview pccb

korino

JF-Expert Member
Dec 6, 2011
1,004
659
Km watatuita wote tulofanya application...otea interview itafanyikia wap
 
Km watatuita wote tulofanya application...otea interview itafanyikia wap


Tanganyika Packers -na zitakua shift 10 maana shift ya kwanza itaanza saa 2:00 asubuhi na ya mwisho itakua saa 12:00 jioni.Kila shift watatumia saa moja kufanya paper. Itasahihishwa kwa mashine maalumu kutumia computer
 
viwanja vya ccm mikoani
  1. dodoma-jamhuri
  2. arusha-sheik ameir abeid
  3. iringa -samora
  4. tabora-ali hasan mwinyi
  5. mtwara-nangwande sijaona studium
  6. mwanza-kirumba
  7. shinyanga -kambarage
  8. kagera-kaitaba
mengineee endeleeni wenyewe.............
 
viwanja vya ccm mikoani
  1. dodoma-jamhuri
  2. arusha-sheik ameir abeid
  3. iringa -samora
  4. tabora-ali hasan mwinyi
  5. mtwara-nangwande sijaona studium
  6. mwanza-kirumba
  7. shinyanga -kambarage
  8. kagera-kaitaba
mengineee endeleeni wenyewe.............

intervw watafanya dar kazi mikoani.
 
Lazima usaili huu ufanyike uwanjani, manake kwa mfumo wa ajira wa taasisi hii pamoja na kuangalia professionalism, ukakamavu ni nyenzo na kigezo muhimu sana kupata ajira kwenye taasisi hii.
Waombaji wote wajiandae vizuri kwa mazoezi ya physique (physical fitness) , kukimbizana lazima hata uwe na masters.
Manake wote watakaofaulu usaili watatakiwa kupelekwa kwenye mafunzo (recruit corse) isiyopungua miezi 8 kabla ya kuajiriwa rasmi as the institution is paramilitary.
Kwenye recruit course kuamka asubuhi ni saa 10 asubuhi na kulala ni saa 4 usiku kila siku, ratiba imekamilika watu wajiandae kwa hectics.

Aidha taasisi imeshafunga kupokea maombi tokea tarehe 22/10 .Usiangaike kutuma kama ulikuwa haujatuma hadi tar 21/10.
Waombaji wote wawe wavumilivu, mchakato ajira hizi unaweza chukua muda mrefu hususani kwenye zoezi la kuscrin vyeti vya wale ambao wataitwa kwenye usaili.
Kama umetumia nakala ya vyeti vya kufoji, jiandae kujitetea mahakamani.
Aidha mnaaswa kuepuka na matapeli wanaowadanganya kwamba wanaweza kukusaidia kupata ajira kwenye taasisi kwa njia ya mkato na hivyo wapewe fedha au bakshishi ya aina yeyote. Yeyeto atakayekutana na mtu wa namna hiyo amripoti kwa Mkurugenzi mkuu TAKUKURU +255 22 2150043-6,+255 22 2150047 au ofisi yeyote ya takukuru iliyo karibu.
Taratibu za ajira kwenye hii Taasisi hazina upendeleo.
 
Intavyuu itafanyika Kambi ya jeshi lugalo Vitakaguliwa vyeti na mbio zitaanza kutoka lugalo mpaka kambi ya gongo la mboto. Atakaye chemka ndo atajidiskwalifai mwenyeweee.
 
kama ulienda ukanunua cheti cha darasa la saba wakati serikali ilishaviondoa kwa muda basi utakua umetoa rushwa ili upewe cheti nnjoo kijiwe tukae wote.Hili kuna jamaa alikua ananipa kwamba kuna interview zilifanywa bila kuelewa.
watu wametengeneza vyeti wakati ilikua wapate barua toka kwa afisa elimu wa mkoa tayari ni kimeo.nimechoka
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom