Interview leenergy

Zheneba

Member
Aug 5, 2011
75
9
Jaman wana jf nadhan mliona hii kampuni ilitangaza kazi nyng kama marketing officcer (30) na regional agent(4 ) ilikuwa sept, j3 iliyopita wakanipigia simu njoo j5 Ppf tower 4th floor nikadhani ni interview kumbe nimfano wa DECI unatoa 100$ kama membershp fees afu ukileta mwenzako unakuwa unapata asilimia kadhaa jaman tuwe carefully na haya makampuni tutaenda kuibiwa.
 
yah ni wahuni kwel,nami nilienda,yaan kuwapata wa2 kwenda kwa deci yao wanatangaza kama kaz vle,mnapgwa semina pale mkitoka mnapewa sabun zao za kichina!
 
deci ndo zinarudi kimtindo wa jobs vacancies...vipi na hawa jamaa wanaitwa QUESTNET wamenitumia sms mara kibao sio walewale pia??jamani wanajamii tufahamishane kuhusu Quest net
 
Back
Top Bottom