Interview: Koti jeusi la kodrai na suruwali ya kadeti nyeupe

Nyamtala Kyono

Senior Member
Sep 23, 2010
163
34
wadau huwa nikivaa hayo mavazi huwa natoka chicha sana, je naweza kwenda kwenye interview nikiwa nimevaa hivyo?
asanteni. na je shati ya draft naweza kuvaa kwenye interview?

ideally ni mavazi yapi mazuri ya kuvaa kwa interview

asante
 
hauna suti?....au shati na suruali ambazo utakuwa smart zaidi ya hizo kadeti na kodrai...?
ninavyoamini kufaulu interview ni pamoja na utanashati......
But vyovyote unavyoona wewe.....ni sawa....
 
mi nilipiga shati la minazi minazi na suruali ya timberland, kazi nikapata.
daaaaah yani nimejikuta nacheka mwenyewe hakyanani...umenikumbusha mbali sana niliwah kuwa na shati hilo lilikuwa limeandikwa HAWAII,lakini kwenda nalo usailini duuuu?!!!
 
hauna suti?....au shati na suruali ambazo utakuwa smart zaidi ya hizo kadeti na kodrai...?
ninavyoamini kufaulu interview ni pamoja na utanashati......
But vyovyote unavyoona wewe.....ni sawa....
Haya preta nipe uzoefu wako basi
 
Inategeana unafanya interview na aina ya kazi unayoomba. Kama ni katika Utumishi wa Umma, ni vizuri kama utavaa suruali ya kitambaa na shati, hata kama huna suti funga tai. Hata kama shati ni la draft halina shida ilmradi usichanganye rangi na hiyo surauli. Aidha, mavazi yanategemeana na matukio, hata uanapotoka kwenda club unavaa nguo zinazokutoa chicha lakini sio nzuri kwenye interview.
 
Oh,tai lazima?

i have an experience on this: sikushauri uvae suti unless ni post ya juu kidogo au management level au lawyer....pia kama ni kachumbari kama ulivyotaja sikushauri

vaa shati la LIGHT BLUE na tai ya BLUU iliyokoa..au shati light blue na tai nyekundu..is the best combination ever for jobinterviews..inakufanya uonekane upo live and smart....vaa suruali inayokukaa vyema kiononi...na usivae suruali pana sana..iwe stylish kdigo but not complicated au isiwe modo.

vaa viatu vyeusi na epuka kuvaa nguo kubwa saaana vaa nguo inayokukaa fresh kwenue m,wili ..uwe comfortable..ila plz againzisiwe modo...

remember to smile kiaina sio kufoji..na kitu kama haujui usijilazimishe...

usiwe siriaz sana....japo on th eway ujiachie kidogo..na take control of th einterview..be confident!!

research on the organisation,,ujue wanafanya isues gani;prepare swali la kuwauliza....

wakikuuliza what is ur weakness waambie 'i work too much'...watacheka mpaka basi

my friend I HAVE NEVER FAILED A JOBINTERVIEW...NA NIPO KWENYE KAZI YANGU YA 3 TANGU NIMEMAMALIZA CHUO.

ALL TH BEST
 
utanashati ni moja ya vigezo muhimu,ila kama ukivaa hivyo utakuwa comfortable na kutengeneza confidence ya ukweli,bila shaka kazi utapata.unaweza ukavaa suti,ukaanza kujishtukia mpaka ukose kazi,follow ur own lead mkuu,personality yako ndo itakusaidia
 
i have an experience on this: sikushauri uvae suti unless ni post ya juu kidogo au management level au lawyer....pia kama ni kachumbari kama ulivyotaja sikushauri

vaa shati la LIGHT BLUE na tai ya BLUU iliyokoa..au shati light blue na tai nyekundu..is the best combination ever for jobinterviews..inakufanya uonekane upo live and smart....vaa suruali inayokukaa vyema kiononi...na usivae suruali pana sana..iwe stylish kdigo but not complicated au isiwe modo.

vaa viatu vyeusi na epuka kuvaa nguo kubwa saaana vaa nguo inayokukaa fresh kwenue m,wili ..uwe comfortable..ila plz againzisiwe modo...

remember to smile kiaina sio kufoji..na kitu kama haujui usijilazimishe...

usiwe siriaz sana....japo on th eway ujiachie kidogo..na take control of th einterview..be confident!!

research on the organisation,,ujue wanafanya isues gani;prepare swali la kuwauliza....

wakikuuliza what is ur weakness waambie 'i work too much'...watacheka mpaka basi

my friend I HAVE NEVER FAILED A JOBINTERVIEW...NA NIPO KWENYE KAZI YANGU YA 3 TANGU NIMEMAMALIZA CHUO.

ALL TH BEST
duuu mkuuu hz nondo zako zimenisaidia sana sana,ubarikiwe na kazi yako ya nne sawabho iwe ya UN
 
Inategemea na kazi unayoenda kufanyiwa interview.
Kama ni Tour Guide, IT, Construction, Mining na the likes, basi haina noma.
Lakini kama ni Accountant, Banking, Administration, Sales na the likes, then usipige mapigo hayo.
 
mi nilipiga shati la minazi minazi na suruali ya timberland, kazi nikapata.
Kwani interview ni viwalo? Kwa mtazamo wangu kuwa smart siyo lazima uvae suit au tie!

Kwani ukivaa suruali yako safi na shati ya batiki ya Kiafrika na mambo ukawa unayaweza katika interview utanyimwa kazi?

Yuache kasumba za kipuuzi! Umepanda daladala kwenda interview Dusemba Rar suit si tanuru?

Tuna mavazi yetu mazuri na nadhifu yakufaa sehemu zote! Tuyapebde na tuyatumie!
 
hapo kwenye blue si utaulizwa kama CCM imeshaanza kampeni,,,,?

Kwa mapigo hayo! Itakuwa vigumu kupata Kazi..Vaa suruali, shati, tai fresh kabisa.
 
Mbona ukivaa viatu vyeusi, suruali nyeusi na shati yenye rangi mchanganyiko na siyo crazy colour mbona shwari tuu
 
Dah!!kumbe kuna ishu za mavazi tena,itakuaje sisi tulozoea kupga majeans?
 
Back
Top Bottom