interview ABG graduate programme

Bayo

Senior Member
Jul 2, 2009
195
34
kwa wale wadau tulioomba nafasi za training barrick, kuna mwenye recent information?
 
bayo mkatukumeni?simba wa serengeti?zile nafasi mpaka leo kimya..ebu kusubilia kidogo!
 
kuna jamma yangu mmoja kanipigia simu usiku yeye pia aliapply na akasema ametumiwa email sms kwa ajili ya interview ambayo itaanza tarehe 26 kama siku tatut hivi mwezi huu.
 
kuna jamma yangu mmoja kanipigia simu usiku yeye pia aliapply na akasema ametumiwa email sms kwa ajili ya interview ambayo itaanza tarehe 26 kama siku tatut hivi mwezi huu.
<br />
<br />
jamaa yako alisoma kozi gani ndugu yangu. Mazingira,geology,human resource au nini?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom