Internet

majiyashingo

Member
Feb 2, 2011
44
2
Jamani habari za Jioni
Nahitaji Internet Connection yenye Speed kubwa kwa kampni ya watu kama 15 ambayo tunaweza kudownload chochote tunachokihitaji na ambayo haina tatizo kabisa je ni ipi kamuni nzuri inatoa huduma za Internet kwa makapuni je Bei zao zipo vipi kwa mwezi?
 
Za Jumapili,

Kuna Dedicated connections - Ambayo link yako is not shared with any other person. I would recommend a 512kbps link for 15people. Average prices for 512kbps =$700/ month

Kuna Shared connections - Ambayo link yako ni shared na watu wengine. This is not as fast as the first one but cheaper
Market prices
Sasatel - 249,000/ month
TTCL (recommend shared 2mbps) -200,000
BOL - $49/ Per computer

Hope it helps

B.P (2011)
 
nunua tigo. ufanye shared connection. kama unataka spidi kubwa tumia ile pack yao ya laki2 kwa mwezi. na kama unataka kikawaida tu tumia ile ya 45 elfu kwa mwezi
 
Back
Top Bottom