fredmlay
JF-Expert Member
- Apr 30, 2008
- 1,849
- 388
Uncle natumia Unlimited Internet mwezi wa nne sasa na nilivyoanza kutumia nilikuwa na modem yenye uwezo wa 3G, ambayo speed haikuwa kubwa sana lakini baada ya kupata 3.5G speed imeongezeka. natumia torrent files katika downloads na kwa torrents zenye peers wengi speed hufika mpaka 100-170kbps usiku. vilevile nimefanya comparison ya hizo modem mbili katika browsing the internet, 3.5G ipo fast sana beyond ur expectations..with 3.5G modem, its possible to do downloads beyond 15GB per month if downloads are made regularly..!!fanyia utafiti hilo uone :A S-key:...
Kwa taarifa yako mimi ninazo modem zote hapa ttcl, voda, tigo, airtel na zantel. Kama tatizo ni speed kwakweli ttcl na zantel nikiboko speed yao iko juu sana wengine wanaiga ila tatizo bei! Zantel mpaka uwe high life member ndio una enjoy bei. Airtel wana 400mb kwa mwezi lakini kwa speed yao unaweza tupa modem