Internet ya bure

Peace Peace
Mnaweza kusikiliza mziki kidogo
 
Last edited by a moderator:
Of course, mwenyewe bila kutumwa umeingiza mkono kwene mzinga wa nyuki, ukishaumwa kinachofuata ni mbio na mayowe.

Ok ma men u win,if that is what u want to hear.As wise men said 'If a crazy man takes u'r cloth as your bathing and runs.Walk away into the bushes cause when u chase him not 1 crazy man will b seen but 2 crazy men.'I'M OUT.
 
Well said
 
..and no doubt the crazy one is you.
 
Unamaanisha bure ya namna gani? Maana kama bure airtel wametoa mb 400 kwa 2500sh sasa sijui unataka bure ya namna gani.
 
atupo kufundisha wizi tena hadharani unajua utakuwa umeharibu watu wangapi hapa jamvini?

drphone, bila ugomvi wala marumbano, post yangu haifundishi kuiba internet, nilikuwa nawajibu hawa jamaa wanao mponda mshkaji alieuliza swali, na sio ki2 cha ajabu kuskia wa2 wana hack internet free, We ni mtundu wa simu bt am sure na nauhakika unajua inawezekana.
 
najua mkuu ila kwenye kuku wengi ucmwage mchele
 
kijana m-pm drphone namuamini huyu jamaa ni bingwa wa utaalamu japokuwa hakuweza nisaidia mm.
 
ebu nikumbushe kwa pm nilichoshindwa kukusaidia mkuu ujue mambo mengi kichwani na hapa jamvini mpaka uperuzi sana kurasa zingine zinakuwa azionekani
 
Kweli nimeamini hakuna swali la kijinga ila kuna JIBU LA KIJINGA......nimeligundua ilo hapa jukwaani
 
Mhh its funny.....

Those who perceived such a question as impossible and senseless I wonder what they are thinking now...!!!!???

Its a shame cause according to the answers Mzux D got, any ordinary human being would have been scared to ask a question ever again...!!!!
 
mmmh mi nimebak 2 nashangaa wa2 wanavotroll humu ndan! Kudos kwa walompa majibu ya maana GG,VOR...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom