internet ya bure

Al shabab

Member
May 21, 2011
71
6
kuna kaujanja kanatumika ktk mtandao mfano una laini yako ya tigo au airtel,kuna jinsi unafanya then unapata internet bure muda wote miaka yote,kama hamjui hiyo siri,ni kwamba ipo!niliwahi muona jamaa wapatao wawili wenye laini tofauti wana enjoy maisha.je kuna anayejua kufanya hayo hapa jf?msaada pls!
 
Kaka siyo rahisi kama unavyo dhania wewe, na hata ukifanikiwa speed yake itakuwa siyo ya kuridhisha..... Ukweli ni kwamba hamna cha bure maana hata hicho cha bure unachokitaka nacho utakigharamikia hivyo jibu ni kwamba hakuna cha BURE! cha bure unachopata kwenye dunia hii ni hii hewa unayovuta bure pasipo kuigharamikia.
 
hii issue hata mimi nimewahi kusikia,,LAkini cjapata kujua,Nilijua ni story tu!!i hope there is somebody who knows atupe elimu hiyo!!
 
hii issue hata mimi nimewahi kusikia,,LAkini cjapata kujua,Nilijua ni story tu!!i hope there is somebody who knows atupe elimu hiyo!!

Hizi ni story tu mkuu... au mara nyingine unakuta kuna makosa yamefanyika kwenye mtandao husika watu wakawa wanapata net bila kikomo kama ilivyowai kutokea kwa voda, sasa watu wengine ikitokea hivyo wanadanganya wenzao wamechakachua kumbe kamba tu...
 
mimi ningependa kujua kuhusu independet wi fi.....

ni internet ya bure inatumiwa na watu wanaoishi maeneo ya mbali sana,au kwenye meli

au hata ma spy.....

kuna anaejua zaidi anieleze????????????
 
Mimi niliwahi kununua connection ya mwezi mmoja Airtel mwezi September mwaka jana na nikaendelea kutumia bila ku-renew mpaka mwezi wa April mwanzoni waliponistukia na kuisitisha,sasa mtu akipata zali kama hili anawaambia watu napata connection ya bure na sio kweli ni bahati tu.
 
Vya bure vipo sana usipozuia modem yako lazima tuingilie kwa wi-fi labda mtu awe amelock hapo ndio hupati.

Ulaya hotspots zimejaa hadi ktk usafiri wa public

Nitafurahi tukijua hakuna kisichowezekana duniani ktk technology ndio maana internet security softwares kubwa kutafutwa updates wasiingiliwe
 
Wakuu nami nimevutiwa na hii ya wi-fi ndio niaje niaje wakuu ?na kulock modem ni vipi unafanya ?samahani kama nimetoka nje ya mada wakuu.
 
Mi nilikuwa natumia wi-fi ya UhuruOne/Selcom ya kulipia 40,000/- kwa mwezi ambayo haihitaji modem wala kifaa chochote,mwanzoni ilikuwa nzuri connection/speed lakini baada ya wateja kuwa wengi ikaanza kusumbua nikanunua modem ya Airtel.
 
kuna kaujanja kanatumika ktk mtandao mfano una laini yako ya tigo au airtel,kuna jinsi unafanya then unapata internet bure muda wote miaka yote,kama hamjui hiyo siri,ni kwamba ipo!niliwahi muona jamaa wapatao wawili wenye laini tofauti wana enjoy maisha.je kuna anayejua kufanya hayo hapa jf?msaada pls!

hapo kwenye red siuende kwa hao jamaa wawili wakufundishe hako kasiri kao ulete hapa kama ni ukweli
 
Wataalam wa Science wanasema 'To every Security System, there is a weakness in it'. Hata fingerprint security, facial recognition security zina weakness zake..kuna tutorial kwenye internet kuhusu sim clonning and hacking techniques sema ni risky sana kukamatwa na hivyo tumeshasajili line, haya mambo yapo naamini kuna wataalam wanaoweza...:mod::mod:
 
Mpumbavu wewe nenda kule kwenye jukwaa la lugha kama unajiona ni mahiri kwenye lugha, hapa tunachojari ni kwamba ujumbe umefika au lah!
Punguza hasira bro, sio vizuri kumuita mwenzio hivo mbona kukosolewa ni jambo la kawaida sana ukiwa hapa JF
 
Zipo lakini sinakuwa za IT wa mitandao kwaajili ya matumizi yao. Ukiona mtu anayo ujue katoa kitu kidogo line yake ikafanyiwa mambo>
 
Back
Top Bottom