Internet ya bure kwa watumiaji wa Airtel

Shukrani sana kwa taarifa mkuu. Ila nina swali. Vipi kwa tulioweka data bundles?
 
Jaman tangazo linasema ni kuanzia saa 5 usiku hdi saa 12 alfajiri ijumaa mpaka jumapili so km unataka kudownload subiri mpaka usiku wa kuanzia saa 5!
 
duh! jamani kesho kazi ipo. yani leo usiku kazi ipo mimi nitakuwa wa kwanza kisha nitajua lakufanya nkamilishe mambo yangu.
lakini hivi nikwahii wikend tu ama wikend zote? hadi waseme basi?
 
sas hwa jamaa kw hyo wanataka 2we walinz ndo wanafurahi khaa lakn poa 2 ngoja 2komae
 
duh! jamani kesho kazi ipo. yani leo usiku kazi ipo mimi nitakuwa wa kwanza kisha nitajua lakufanya nkamilishe mambo yangu.
lakini hivi nikwahii wikend tu ama wikend zote? hadi waseme basi?
Ubaya wa Airtel ni kwamba net yake uwa ina ji-disconnect yenyewe kila baada ya saa moja........ hivyo inakubidi usilale iki-jidisconnect una connect tena au uifanye iwe auto.
 
Hapa mimi nina swali kwani saa 5 si ndio muda wa kulala na saa 12 si ndio muda wa kuamka? sasa kuna offer gani hapo! kenge wa bluu kabisa hawa nyambafu.

nakubaliana na wewe hiyo sio ofa, siachi kulala eti kwa vi MB 200!!.
 
Wakuu,

Mtandao wa Airtel umetoa offer ya internet kwa siku 3 , hii ni kwa watumiaji wa simu pamoja na Modem... Offer hii inaanza kesho ijumaa hadi jumapili saa 6 usiku.

Na wasi wasi uenda wakatubania spee d ya internet,pia nadhani kuna kitu wanataka kuangalia.

I smell a RAT! Tena MKUBWA, na AMEOZA!
 
Back
Top Bottom