Wanajamii tumekuwa watumiaji wazuri sana wa internet,kwa kutumia vifaa mbali bali i.e computers,laptop,smartphones na hata mobile phones imekuwa rahisi kupata habari za kitaifa na kimataifa.
Je ni wangapi tunaofahamu,internet ni ni kitu gani na kwa jinsi gani tunapata hizo habari Internet-ni muunganisho wa network mbalimbali kwa ajili ya kupatiana au kubadilishana taarifaMoja ya kazi kubwa za ISP ni utoaji wa huduma za internet na ili upate internet ni lazima uwe umeunganishwa na ISP,i.e modem,cable au satellite.
ISP wamegawanyika katika makundi matatu,mgawanyiko huu unatokana na kwa kiasi gani wapo karibu na internet backboneISP tier 1-haya ni makampuni makubwa kabisa ya ISP ambayo yamejiunganisha kwa peer connection,direct connection au IXP(muunganisho wa ISP kwa region), media inayotumika ni fiber,kwa pamoja tier1 ISP wanatengeza global internet na kufika popote duniani.
Tier2 ISP-hili ni group la ISP ambalo pamoja na kuwa na direct connection zao,bado hulipia Tier1 ISP to reach remote locations
Tier3 ISP-hili ni group la mwisho la ISP ambalo humfikia end user na ili kupata internet hulipia Tier2 na wakati mwingine Tier1 ISP
Nawasilisha