Internet Radio Recorder?

King Kong III

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
51,603
68,509
Wadau ebu niambieni ipi ni recorder nzuri ambayo unayoitumia kurecord online radio,nimejaribu kusearch kwenye gugo nimedownload kama mbili hivi na nikatest lakini sound ipo chini sana hata ukiiweka max,msaada plz.
 
Back
Top Bottom