Internet kwa dola 3.0 kwa mwezi mzima

Paje

JF-Expert Member
Apr 24, 2010
1,185
455
kuna software inakuwezesha kupata free internet ya basi la rangi ya kijani lakini two hours free. baada ya hapo inakubidi ulipie dola 3.0. malipo wanayokubali ni kutumia liberty reserve tu. kama una paypal account. inafaa lakini itakubidi ununue credit za liberty reserve za kiasi unachohitajia kwa kutumia account yako ya paypal. cha kufanya nenda kwenye website ya liberty reserve creat acount. hawa hawataki credit wala debit card. kuna njia chache sana za kuweka credit kwenye account ya liberty. moja wapo ni kutumia paypal. uzuri wake huwa hui link card yako. hivyo hamna yale mambo ya kuibiwa au kuchajiwa mara mbili au tatu kwa single purchase. ni kama nipe nikupe . ukinunua credit za hawa jamaa ni kama unanunua vipande vya gold, gold ikipanda kwenye soko la dunia na hela yako inapanda na ikishuka hela yako inashuka. nakushauri ununue credit ndogo tu kulingana na matumizi yako. nenda kwenye site ya hii vpn uicheki New Gui - SandwichVpn ukiitaka software idownload kutoka website yao au hapa........ http://dl.dropbox.com/u/47246564/SANDWICH LATEST INSTALLER/Setup3.6(blue).exe
 
inakuwaje free mkuu! mbona inaonekana ni kama VPN tu ya kutembelea restricted web sites kwa zile inchi zilizobana baadhi ya sites ..?
 
Back
Top Bottom