Internet Download Manager IDM serial number

mfianchi

Platinum Member
Jul 1, 2009
11,837
8,226
bandugu kwa yeyote mwenye serial namba za Internet Download Manager naomba aniwekee hapa jamvini hii kitu nimetuma trial kwa mwezi hakika ina supidi ya hali ya juu sasa siku 30 zimeisha ,tafadhali msaada
 
version ipi!!! ni wakati wa kununua sasa wao watakula wapi?! hehe joking bana...gonga hapa and be happy mkuu ni version 5.18 after installation copy crack file na ukai paste kwenye program file ndani ya IDM haitakuuliza tena kuhusu serial!!! Be happy

http://rapidshare.com/files/321642577/IDM_5.18.rar
Mkuu SHAROBALO umempa link tu? je ume muelekeza namna ya kuiweka hiyo Serial key yake?
Internet Download Manager v6.05 Build 8 (CRACK)
-----------------------------------------------



1) Install idman605.exe ( Weka kwenye computer yako hiyo Idmana)
2) Exit the program. (Right click on the green icon of IDM found in the system tray --> Exit) kisha itoe kwenye chini icon IDM
3) Copy the file "IDMan" from the folder crack, in install folder, by default:
C:\Program Files\Internet Download Manager
and confirm to overwrite existing file. Kopi "IDMan" kwenye file lake nenda kaweke kule C:\Program Files\Internet Download Manager
4) Run the file "regkey" from folder "crack" to register the program. Funguwa file "regkey" file ya "crack" kwa ajili ya ku Rejista Program

** If after install you get the message "Fake serial number...", uninstall IDM, run "Unregister.IDM" to remove any previous serial from registry, reboot PC, install IDM again, use the crack & regfile to activate it.
** Credits to "REA" for this crack. Ukipata meseji inayosema kuwa ni Feki Program itabidi uitowe hiyo IDM na pia tumia na hii "Unregister.IDM" kisha uiwashe computer yako tena uanze upya tena

-----------------------------------------
 
Tatizo linakuja baada ya expiry unapokubali ku update - hapo version uliyonayo haitafanya kazi tena. Ibwage omba ingine
 
mwenzenu yangu ihaexpire tayari hata hizi link mnazonipa nazifuata inakuja ujumbe ule ule kuwa IDM yangu imekufa, msaada plz??
 
Jamani wataalamu nisaidieni nimekwama kabisa.IDM yangu imekwisha muda wake.kila nikiweka key inasema ni feki:JEnifanyaje ili iwe active kama zamani?Sipati raha tena kama zamani!NAOMBENI NJIA RAHISI ZA KUWEKA SERIAL.ZILIZOPO JF NIMEPITIA LAKINI BADO SIJAFANIKIWA.
Msaada Tafadhari.
 
mwenzenu yangu ihaexpire tayari hata hizi link mnazonipa nazifuata inakuja ujumbe ule ule kuwa IDM yangu imekufa, msaada plz??
mimi nina weza kukusaidia online live sasa hivi kuiweka hiyo IDM kama utakubali kuweka hii program inayoitwa Team View i download hapa TeamViewer - Free Remote Access and Remote Desktop Sharing over the Internet ukisha iweka kwenye computer

yako ifunguwe kisha unipe kwa njia ya Siri yaani (P.M) Private message ID yake na passoword yake nitakuwekea sasa hivi unasemaje? njia ya pili jaribu kuitowa hiyo ID kwa kutumia tools hii hapa Download Revo Uninstaller Freeware - Free and Full Download - Uninstall software, remove programs, solve uninstall problems Ubonyeze pale palipoandikwa download Free kisha waweza kuiweka tena hiyo IDM ikakubali unapoiondowa

hakikisha uende kule Local Disk C:/Program files/ Inter net download Manager. ulifute hilo Faili kisha uiwashe computer upya yaani Restart you computer again kisha waweza kuiweka tena hiyo Internet Download Manager .
l
 
Jamani wataalamu nisaidieni nimekwama kabisa.IDM yangu imekwisha muda wake.kila nikiweka key inasema ni feki:JEnifanyaje ili iwe active kama zamani?Sipati raha tena kama zamani!NAOMBENI NJIA RAHISI ZA KUWEKA SERIAL.ZILIZOPO JF NIMEPITIA LAKINI BADO SIJAFANIKIWA.
Msaada Tafadhari.
wewe unatumia Version ipi? hiyo Internet download Manager? mimi ninatumia Version hii hapa Version: 6.05 build 8 (Mar/17/2011)
 
Back
Top Bottom