Internet browser, tatizo hili nifanyeje?

BASHADA

JF-Expert Member
Jul 13, 2011
513
148
JAMANI WANA JF,
Kwanza kabisa nashukuru wana JF kwani kupitia forum hii nimejifunza mengi.

Nimekuwa nikilalamikiwa na marafiki zangu kuwa wanapokuwa online kwenye email, wananiona kwenye messenger box niko online muda wote sasa wakituma msg na kukuta hazijibiwi wanadhani nazipuuzia. kumbe wakati huo mimi ninakuwa nimeshazima computer na sipo kabisa online, lakini wenzangu wananiona bado niko online. Je tatizo hili linasababishwa na nini na nifanyaje ili kurekebisha? bahati nzuri natumia laptop na siyo computer ya public.
Asanteni
 
Back
Top Bottom