Bendera ya Bati
JF-Expert Member
- Apr 6, 2011
- 279
- 363
Habari ndugu zangu wanaJF,Jamani naomba msaada kwa ma-expert wa masuala ya computer juu ya nini cha kufanya kwa computer yangu,maana ninashindwa ku-access internet kupitia internet explorer na baadala yake natumia ujanja wa path nyingine ambayo ninaweza kuingia lakini tatizo linabaki pale ninapotaka kulink na web zingine,automatically ninarudishwa kulekule kwenye internet Explorer ili ku-search,kitu ambacho ndilo tatizo langu kubwa.
Haya ni baadhi ya maneno yanayojitokeza baada ya ku-click kwenye icon ya internet Explorer; (Enternet explore has encounted a problem with an add-on and needs to close).
Haya ni baadhi ya maneno yanayojitokeza baada ya ku-click kwenye icon ya internet Explorer; (Enternet explore has encounted a problem with an add-on and needs to close).