International Women's Day 2012: Mwanamke gani unamuona ni mfano wa kuigwa Tanzania na kwanini?

mwanamke yeyote aliyezaa na anayetarajia kuzaa na atakayekuja kuzaa

mwenye tabia za kike, mwenye umbile, na viungo vya kike..YES huyu ni mwanamkewa kusifiwa

mwanamke special hana uke mbili wala matiti sita

siwezi kuacha kumweleza mama yangu au mke wangu kuwa sio bora kuliko hao mnaowataja ..what a nonsense?

wanawake wasiojulikana na wasio na media coverage huko kwetu ngudu ksolesolengala na nelwala nani anawajua

ondoeni huu ujinga out of GTs
 
Back
Top Bottom