International Driving Permit

Tumsifu Samwel

JF-Expert Member
Jul 30, 2007
1,407
159
Naomba kujua office za hawa watu kwa hapa tanzania ziko wapi.
Nimejaribu kutembelea kwenye website yao inaonyesha kuna office zao tanzania,mwenye kujua ziko sehemu gani anijulishe tafadhali.
 
Last edited by a moderator:
nenda ofisi ya AA (automobile association) ambayo ipo kwenye jengo linalopakana na posta mpya linaangaliana na jengo jipya la tanzania petrolium (nadhani linaitwago ..... towers). jengo lenyewe pia kuna biashara za pikipiki nk.

macinkus
 
They have moved in Upanga, sorry! no post code! I visited them November 2005, AAA office haziko jengo la posta mpya tena.
 
They have moved in Upanga, sorry! no post code! I visited them November 2005, AAA office haziko jengo la posta mpya tena.
Mkuu nakuomba uniulizie wapo Upanga sehemu gani ndugu,tatizo mimi sipo Dar ninge kwenda kuwaulizia pale office zao za zamani zilipo kuwepo ningewapata.
 
Automobile Association ofTanzania
Magore Street Upanga
Burhani complex unit 14
Dar Es Salaam
Tel: (+255 22) 215 18 37
Email:aat@ctvsatcom. net
Tanzania
Shilling (TZS)
Dialing code (+255)
 
Last edited:
office ipo morogoro road karibu na faya nyuma ya kituo cha mabasi(daradara) yanayoenda town na kariakoo
 
Automobile Association ofTanzania
Magore Street Upanga
Burhani complex unit 14
Dar Es Salaam
Tel: (+255 22) 215 18 37
Email:aat@ctvsatcom. net
Tanzania
Shilling (TZS)
Dialing code (+255)

Mkuu,
Ubarikiwe sana ndugu yangu..Umenipa msaada mkubwa sana ambao sikutegemea kuupata hapa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom