International call

Bontowar

JF-Expert Member
Feb 21, 2009
520
52
Hellow wakuu JF

Natafuta jinsi ya kuweza kupiga sumu kwa bei poa nchi za nje

thanks
 
Globe7.com
Skype.com
MSN Live Messenger
Yahoo Messenger
etc.
 
Inategemea unapiga wapi. Mimi nina simu ya ZAIN na napiga sana UK kwa watu wenye mobile na huwa sio ghali kama zamani. kwa elfu 5 unaweza kuongea kwa dakika 5+ ..ni rahisi kuliko kumpigia mtu mwenye simu ya Tigo au Voda hapa!!
 
ok kwa nchi kama za ULAYA hata ukitumia NET TO PHONE ni rahisi sana kuzidi hata hiyo zain na zingine nataka kama nchi za ASIA kwa hii inakuwa nagharama kidigo unapata dakika chache
 
Back
Top Bottom