Interior Design for Kitchen and Dining - Mwanza

Buswelu

JF-Expert Member
Aug 16, 2007
1,998
352
Hello JF...

Kuna friends wangu kama watatu wako kweney finishing stage ya nyumba zao. So katika kumaliza wanapenda kupata Designer wa jiko na dining. Kuwashauri setup ya makabati na jiko, fridge etc nyumba zote ziko mwanza.

Maeneo tofauti tofauti....Kama wamfahamu mtu anafanya kazi hizi mwanza..please nifahamaishe ntampata wapi?

charminglady

Regards
 
mkuu kwanini lazima iwe kutoka mwanza hatuwezi wa hapa dar kuwafuata huko, nikaproject kazuri bwana!
 
mkuu kwanini lazima iwe kutoka mwanza hatuwezi wa hapa dar kuwafuata huko, nikaproject kazuri bwana!

Kutoka mwanza inaweza kuwa rahisi sana kwa kuwa anakuwa pale pale wa dar kumleta mpaka mwanza gharama zake anaweza kukumaliza....Yeah project ni nzuri ukizingitia maeneo ambayo uatfanyia kazi ukifanya vizuri na majirani ambao wanaendelea kujenga unawakamata na ukafanya biashara.. ...

My worry ni gharama za kumleta mtu kutoka dar kuja mwanza.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom