Interference ya mazungumzo kwenye simu za mkononi

RODMAN

New Member
Mar 18, 2011
1
0
Jamani wandugu tufunguane akili na hii technologia ya kuingilia mazungumzo ya simu za kiganjani. kwa nilichoweza kujua kwa wale wenye simu zenye bluetooth, gps na wireless internet ni rahisi kuweza kuwa ndio ambao wana weza kuathirika na hii technologia. kinachofanyika ni kwamba wakati unatumia hizo technojia, kuna vijana wa kati huwa wana tafuta (search and detect) vifaa vya maswasiliano ambayo vipo on kwenye hizo technoligia. wakiweza kunasa kifaa chako hapo huwa wana break authentication yani code zinazo wezesha vifaa kupeana ruhusa ya kuwasiliana.

kufanikiw kwa zoezi hilo hufanyika bila wewe kujua na ni kwa software maalumu baada yahapo kuna software ambayo huingizwa kwenye simu yako. hiyo software husaidia kupeleka taarifa zako kwa muhusika. muhusika huweza kuingilia

mazungumzo yako, kupata meseji zako na kujua eneo ulipo. Hii yote hufanyika bila wewe gundua chocho kinachoendelea. baada ya hio software amayo ni ndogo na haijioneshi kama software nyngine zilizo kwnye simu yako (haina user interface) kuingia huwa inatumia technologia ya GSM/ gprs kupeleka taarifa kwahio hata kama utakuwa umezima bluetooth, gps na wireless internet bado wahusika wataweza kupata taarifa.

Hii ni spyware software ambayo huingia kwenye simu ni kama hizi ambazo tunakewa bila kujua tunapo tumia internet kwenye computer. kwazaidi ningependa kuwatadharisha wenye simu amazo zina hizi technologia za kisasa. Wenye blackberry,sumsang, nokia, mchina (majina yake mnajua wenyewe) na smart phone aina mbali mbali hili swala lina wahusu.

kwa wale ambao wamesha pata taarifa zozote tuweke mawazo yetu hapa ili hii technologia ya kuingilia mawasiliano iweze kujulikana na wengine. hakuna kinacho shindikana ingawa mawasiliano ya simu za mkono yana ugumu kidogo kuingilia tofauti na simu za mezani. kwenye hii kinachofanyika ukipokea simu unakuwa umetengeneza conference call na muhusika usie mjua atakusikiliza mazungumzo yako na ataweza kurekodi.

tujadili hili swala pamoja
 
Mh! Haya ngoja waje wataalam ili nasi tujifunze mi ndio kwanza naisikia kwako mkuu.
 
yah , kweli zipo hizo software(eg bluetooth hacker) lakini lazima ukubali kujiunga nao ndo wanaweza kukufanyia ushenzi huo bila ya wwe kujijua, eg when you got a notification " do u wana connect with yahoo " , yahoo hapo ni jina la bluetooth user kama ilivyo ally o amina , so once u accept the connection , a hacker gain control ya cmu yako na anaweza kufanya mambo chungu nzima kwenye cmu yako bila ya wwe kutambua hata kutumia cmu yako kumpigia m2 mwingine
 
yah , kweli zipo hizo software(eg bluetooth hacker) lakini lazima ukubali kujiunga nao ndo wanaweza kukufanyia ushenzi huo bila ya wwe kujijua, eg when you got a notification " do u wana connect with yahoo " , yahoo hapo ni jina la bluetooth user kama ilivyo ally o amina , so once u accept the connection , a hacker gain control ya cmu yako na anaweza kufanya mambo chungu nzima kwenye cmu yako bila ya wwe kutambua hata kutumia cmu yako kumpigia m2 mwingine

mambo yameadvance sana tofauti na unavyofikiria anayozungumzia mkuu hapo juu uhitaji kuaaccept kwa kutumia no yako ya cm ameshakupata kwa kutumia gprs, gps na mtandao wa gsm
 
Back
Top Bottom