Interest za mabenki yetu

Karhumanzira

Member
Oct 19, 2011
50
9
Wakubwa nataka kuchukua mkopo,ebu nitajieni interest rate za mabenki yetu kwa sasa hili nijiunge nayo kwa lengo la kuchukua mkopo,personal loan!

1.CRDB
2.Standard Charted
3.Barclays
4.Azania Bank
5.BOA
6.NBC
7.Stanbic
8.FBME
9.TPB
10.DTB
 
Back
Top Bottom