NgomaNzito
JF-Expert Member
- Jan 10, 2008
- 559
- 26
Kesho kuna Dialogue kuhusu madini yetu itakayofanyika 21/3/2009 Saint Augustine University Mwanza:
Mada: Oportunities,Challenges and Prospects of the Mining Sector in
Tanzania
Speakers:
1. Zitto Kabwe MP Kigoma Member - Bomani Committee
2.Richard Mgamba Managing -Editor Sunday-Guardian
CNN-Africa Jounalist of the Year 2008
Winner
3.Deo Mwanyika- Honarary Secretary Tanzania Chamber of
Minerals & Energy
4.Dr Peter Kafumu-Commissioner of Minerals and Energy
Haya sasa Waheshimiwa wanaenda kupiga blabla hakuna kitu,Huyu Mwanyika ndie Mtanzania anayetumiwa na mabepari kuwakandamiza watz wenzake huko Barrick goldmine, Mh Zitto ripoti ya Kamati yenu ya Bomani mbona kimya.
Itakuwa vizuri tukipata watu wakawaulize maswali yaliyokwenda shule hawa jamaa waache blahblah madini yetu hayatusaidii kitu