Intellectual chapombe na fikra mpya!

Songambele

JF-Expert Member
Nov 20, 2007
4,695
2,553
Imetokea juzi juzi tu hapa katika sebule zetu hizi za umma (Bar) sinza ambapo wakali wa fikra mbadala walikuwa wakitafakari na kutafakuri huku wakishushia na kanywaji ni full kujilamba kama sio kujiachia.

Ghafla jamaa mmoja akaibuka na fikra mpya kuhusiana kinachoendela sinza/Dar usiku, Mshkaji akauliza ingekuwa vipi kama bao lingekuwa linasauti kama ya risasi wakati likitoka, je sinza watu wangelala? na vyumba vya kupanga vingekuwa na soko maeneo hayo?

Jamaa ameamua kufanya tafiti na majibu atatangaza, atalenga kuangalia ni maeneo gani zaidi yangeongoza kwa milio hiyo, je kungekalika kama hayo mambo yangekuwa na sauti na ni wakati gani milio mikubwa ingesikika zaidi usiku au mchana.

Bao-Goli-(mambo ya kikubwa na wakubwa wameelewa)
 
Kama ingekuwa ucku nahisi tusingepata usingizi na watoto wetu wangekuwa viziwi. Na hii inakuwa ingekuwaje kama ghafla ucku kuta zote za nyumba zinaanguka?? Kuna watu tungehisi ni viwete kumbe ni mapozi
 
Teh Teh!

kuna kipima baridi flan kilienea kwenye simu kinasema:-

Kwa kuwa mchezo wa "tendo la ndoa" una mashabiki wengi kuliko mchezo wowote ule duniani na unafanyika kwa siri. Ushauri kwa serikali iuhalalishe mchezo huu uwe unachezea viwanjani watu watoe viingilio ili kuongeza pato kwa taifa letu hili maskini.
 
Back
Top Bottom