huo ni ukweli lakini wao hawamuogopi Mungu,kwa maovu wanayofanya utadhani inchi wameumbiwa wao,mauaji ya watu wasio na hatia yanafanyika,nadhani sasa CCM imefurahia POLISI WANAVYOFANYA VURUGU KWA WANAINCHI,AU WANATAKA YA KENYA YAJE HAPA?Serikali jiulize.CHADEMA WAPO SAHIHI HEBU TUWATIE MOYO WA KUENDELEA NA KUPIGANIA MABADILIKO TUMECHOKA NA HALI HII MARA GHARAMA ZA USAFIRI KUPANDA 100 ASILIMIA,WATANZANIA HEBU AMKENI TUUNGANE MPAKA LINI TUTAENDELEA KUWA HALI HII YA UOGAWALIOKUFA ARUSHA WAMEKUFA KISHUJAA KWA KUPIGANIA INCHIYAO.SALUTI KWAO.VYAMA VINGINE HEBU UNGANENI NA CHADEMA NASI TUPO PAMOJA NANYI,BIG,UP CUF.MWEMA VIP?AU NAWE MWANACCM/TUAMBIE:A S 100::mad2:layball: .Viongozi wa Chadema walilazimisha maandamano yafanyike licha ya kuombwa na Mkuu wa Polisi Tanzania kuwa yasifanyike kwa sababu tu:
Walikuwa na nia ya kuwatisha wawekezaji wakubwa duniani ambao wapo Tanzania, huko huko Arusha kwa sasa.
Wawekezaji hao, wakiongozwa na Dhirubhai Ambani walikuwa Tanzania kwa nia ya mapumziko na biashara na kutazama mandhari ya Tanzania na uwezekano mkubwa wa kuwekeza Tanzania.
Kwa roho mbaya tu na kwa nia isiyoyatakia mema Tanzania, viongozi wa Chadema wakahakikisha maandamano hayo yanafanyika kwa lazima na hata yangeruhusiwa na polisi basi fujo lazima zingetokea ili kuwatisha hao wawekezaji waone kuwa Tanzania si pa kuwekeza.