Intelijensia Kuhusu Maandamano ya CHADEMA

We zomba ww mbona ni kilaza hivyo!
hizo risasi zilizo waua na kujeruhiwa zilifyatuliwa na CHADEMA? Polisi wakutuliza ghasia badala ya kutiliza waliua ss hiyo ndio kazi mliyowatuma?
Eti kuna wageni hivi unawasha taa na kuiweka mvunguni au kuifunika na debe?
 
Uliona CUF walifanya fujo? walichoma moto magari? walivunja maduka ya watu?
Zomba,

CUF kama CHADEMA Waliamriwa wasiandamane!na wao wakasema ni haki yao kuandamana. Na polisi walijaribu kuyazuia ila walizidiwa maarifa tu.


Na hao CHADEMA walishatembea kilomita 2 bila ya fujo au uvunjifu wa amani yoyote..hapa ni wazi polisi ndio walichochea fujo. Wangeyaacha yakamalizikia na mkutane wake hakuna ambaye angeumia, wacha kuuawa. Na hao wageni wenu wangefurahi kuona TZ kweli ni nchi ya amani na kidemokrasia.
 
Hivi unasema nini wewe? Roho mbaya, chuki binafsi ni nini, kwa sababu gani na kwa nani?

Sent from my ZTE-BLADE using Tapatalk
 
Zomba,

CUF kama CHADEMA Waliamriwa wasiandamane!na wao wakasema ni haki yao kuandamana. Na polisi walijaribu kuyazuia ila walizidiwa maarifa tu.


Na hao CHADEMA walishatembea kilomita 2 bila ya fujo au uvunjifu wa amani yoyote..hapa ni wazi polisi ndio walichochea fujo. Wangeyaacha yakamalizikia na mkutane wake hakuna ambaye angeumia, wacha kuuawa. Na hao wageni wenu wangefurahi kuona TZ kweli ni nchi ya amani na kidemokrasia.

Na CUF walichoma moto magari? walivunja maduka? walipora watu? Hao wafuasi wenyewe wa Chadema wa Arusha mjini wana lalamika wamevamiwa na makundi ya wahuni kutoka Moshi na wakaporwa, sasa wewe unataka kusema nini? walichofanya viongozi wa chadema kukaidi amri ya serikali ni sawa?

Kumbuka kuwa Chadema ni chama cha upinzani, tena kwa asimilia ndogo tu ya wananchi, kwa hiyo haiwezekani hawa viongozi wawaburuze na kuwadanganya pipi.
 
Hakuna mantiki yoyote kwa wana siasa walio mahiri kulazimisha maandamano yafanyike wakati kuna wageni, tena wawekezaji muhimu ambao hakuna nchi katika hii dunia yetu ya sasa isiotaka wawepo au watembelee kwao.


You might have skipped brainagra treatment regime! Acha ujinga wako
 
Hivi unasema nini wewe? Roho mbaya, chuki binafsi ni nini, kwa sababu gani na kwa nani?

Sent from my ZTE-BLADE using Tapatalk

Kwa sababu huijui au unataka kuleta ushabiki? Kwa sababu Chadema wameshindwa kura walipotegemea watashinda na baraza la mawaziri walisha lichaguwa kabla ya matokeo, sasa hicho ndio kina leta chuki kubwa sana. Dreamers.
 
Nani amekuambia ni lazima kutii polisi hata kama wanafanya uhalifu? Unaishi dunia gani wewe?

Sent from my ZTE-BLADE using Tapatalk
 
Nani amekuambia ni lazima kutii polisi hata kama wanafanya uhalifu? Unaishi dunia gani wewe?

Sent from my ZTE-BLADE using Tapatalk

Kwa mantiki hiyo haya msiitii polisi, mbona mmetawanyika, si mngeedeleza maandamano? Au hujaona wenzenu Iran wakati wa AyatoLlah? au Phillipines? si waliingia mitaani usiku na mchana? haya na nyie? kiko wapi? mmewaulisha watu bure, halafu wenyewe viongozi wako Mount Meru wanatizama kwa darubini ama kweli mnawachezea hawa wananchi? Yule mwungine yuko hoteli huku barabarani mama kapaka damu ya sinema aonyeshe kama kapigwa?
 
we Zomba, hatutii polisi bali tuna tii katiba iliyowekwa kwa mujibu wa sheria. Acha ukilaza ww ulishaona mtu akiapa kwa sheria ya polisi. Hovyoo
 
Ati wageni wawekezaji..huyu jamaa akili zake kazificha katika mfereji unapatikana katikati ya makalio yake.

Hao wageni unadhani ni wajomba zako wamekuja kukupa zawadi?

Hata kama tatizo ni wageni, nadhani wageni ndio waliovamia ratiba ya Chadema maana wao walishatangaza tangia mwaka jana kwamba watafanya maandamano tarehe 5 Januari.
 
Hizo ndio hoja za maji taka ya mtaro. Kwani RPC alipokuwa anatoa kibali alikuwa hajuwi kuna wageni? Halafu wageni wana nchi yao na hii ni ya kwetu, kwa hiyo pamoja na kwamba tunahitaji wawekezaji lakini lazima tuweke uzalendo kwenye mambo yanayotuhusu wenyewe! Halafu kwenye uchaguzi mkuu uliyopita CCM ndio ilipata mafanikio finyu na CHADEMA ndio waliopata mafanikio makubwa. Kuporomoka kwa JK kutoka ushindi wa zaidi ya 81% mwaka 2005 hadi 61% mwaka jana, huoni ni kushindwa vibaya? Na hapo ni baada ya kuchachakua sana!! Wakati mwingine mtu kama huna hoja afadhari ukae kimya kuliko kutuletea mambo ya kishabiki yasiyo na maana!!
 
We Zomba ndo ulitoa hizo report inteligensia nini. Huyu Mhindi ambaye anakuja kulala serengeti walikojenga mafisadi hoteli ndo mwekezaji. We kweli kichwani hamnazo. Tena basi jamaa alishaondoka siku kabla ya maandamano. Unazungumza kama vile tuko miaka ya hamsini eeh
 
Malezi ya baba na mama ni muhimu sana.Ukiyakosa,basi utakosa fikra chanya na busara kwa ujumla kama ulivyo wewe 'mtoto wa nje ya ndoa'
 
Malaria sugu una Id nyingi!
Kwa taarifa yako huyu tajiri kaja mapumzikoni full stop
 
Demokrasi ni kuingia mitaani na kuanza fujo? Demokrasia ni kukaidi amri ya jeshi la polisi?

Kama mngekuwa mnaijuwa demokrasia msingeyafanya yote hayo. Kwa kipi kikubwa kilichowafanya muingie mitaani na kusababisha umwagikaji wa damu? kama si roho mbaya na fitna na uzabizabina?

Zomba mtaalamu wa Inteligensia, ni nani aliyeandika barua ya kuruhusu maandamano kama sio serikali kupitia RPC, nani tena akasitisha kwa kutumia eti vyombo vya habari na katika muda gani? Sasa unadhani ni nani wa kulaumiwa. Halafu hivi kweli ulikuwa na maana gani kusema eti tusubiri wageni muhimu waondoke ndio tuandamane, hi kwa akili yako unadhani kama ingekuwa unavyotaka wewe kungekuwa na maandamano. Unasemaje kama ingekuwa ni maandamano kupongeza serikali yenu kuilipa DOWANS ungetaka pia wasubiri wageni waondoke au yangeruhusiwa?
Tafadhali fikiria kutumia kichwa chako na sio kinyeo!
 
Hizo ndio sababu ambazo hazipingiki, kulikuwa kuna umuhimu gani wa kufanya maandamano wakati kuna wageni? tena ni wawekezaji muhimu? kama si kuwatisha?
Je Serikali yako ya CCM walikutangazia kama kuna wageni Arusha? na je kuna Newspaper yoyote iliyoandika huo ujio? Au CCM walitaka kuwachakachua hao wageni baadae wawaibie kwa kuwaandikishia mikataba mibovu!!!!!!!
 
wewe ni mjinga kwanza hao wageni hautapata hata shlingi!kuandamana ni haki ya kikatiba hata aje bill gate au carlos slim watu wanaandamana.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom