Intelijensia Kuhusu Maandamano ya CHADEMA

Mkuu,
Mbali na kuipamba vyema post yako, ya uwekezaji na biashara.
Serikali hapa kupitia jeshi la polisi ndio wamevunja amani ambayo walipaswa wailinde!
Wangetoa nusu tu askali waliotumika kulinda usalama wa maandamano na mkutano hakuna mtu angeumia wala mali yoyote ingeathirika.

After all, Serikali haiwezi kuamua lini watu wafanye mkutano na lini waandamane. Ni haki zao kikatiba. serikali ilipaswa kutoa ulinzi basi.
Vilivyobaki ni visingizio visivyo na maana yoyote.
watu wameuawa na mali zimeharibika.. Serikali na polisi haikutumia busara hata kidogo hapa na zenyewe ndio zinastahiki lawama juu ya yaliyotokea na wawajibike au wawajibishane.

wangeacha maandamano na mkutano ufanyike na kama kungetokea uvunjifu wa amani hapo serikali na jeshi la polisi wangewachukulia hatua kisheria watuhumiwa......hizi siasa za kipuuzi za CCM kushika hatamu zinatugharimu sana hapa TZ. wanapaswa kubadilika, mfumo wa chama kimoja umepitwa na wakati.
 
Hizo ndio sababu ambazo hazipingiki, kulikuwa kuna umuhimu gani wa kufanya maandamano wakati kuna wageni? tena ni wawekezaji muhimu? kama si kuwatisha?

Is that all intelligence information you have? Wageni?
Arusha kuna wageni kila siku.
Ukifilisika kisiasa si lazima watu wakutafute ili wakuone unajionyesha mwenyewe.
 
Hizo ndio sababu ambazo hazipingiki, kulikuwa kuna umuhimu gani wa kufanya maandamano wakati kuna wageni? tena ni wawekezaji muhimu? kama si kuwatisha?

kwa hiyo wakija wageni ndio Tanzania haiwi tanzania na Demokrasia inatakiwa ifichwe? Hivi hujasikia watu wanafanya maandamano kwenye G7 meetings ambako ndiko wageni wengine muhimu wapo? Yaani tuuze uhuru wetu kwa ajili ya kuogopa wageni.
 
Hizo ndio sababu ambazo hazipingiki, kulikuwa kuna umuhimu gani wa kufanya maandamano wakati kuna wageni? tena ni wawekezaji muhimu? kama si kuwatisha?

OOOOooohhh Next time basi tutasubiri kusiwe na wageni ndo maandamano yafanyike! Are you happy Now?
 
Wageni au wenyeji???...kwa utamaduni tulionao wa kutetemekea uonaoita wageni ndo utatusababisha tupigwe bei tunajiona....wageni gani wanajua nchi yetu nje ndani ilihali unayejiita mwenyeji usijue hata tafsiri ya uhuru wako!
 
zomba
user-online.png
JF Senior Expert Member
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png

Join DateTue Nov 2007Posts747Thanks2
Thanked 0 Times in 0 Posts

Post 747 Thanked 0
I Wonder Why?
 
Mnapoteza muda wenu na huyu ZOmba..huyu ni wale al Qaeda fanatic ambao wapo kumtetea JK kwa lolote lile..si tu kwa sababu sahihi bali kwa UDINI. Mfuatilieni kwanza profile yake kabla ya kumchukulia serious na kujibu posts zake, hana tafauti na Malaria Sugu.
 
kwa hiyo wakija wageni ndio Tanzania haiwi tanzania na Demokrasia inatakiwa ifichwe? Hivi hujasikia watu wanafanya maandamano kwenye G7 meetings ambako ndiko wageni wengine muhimu wapo? Yaani tuuze uhuru wetu kwa ajili ya kuogopa wageni.

Mwanzisha hoja Zomba HAKUFIKIRIA kabisa kuwa DEMOKRASIA ni bora mara elfu kuliko ugeni wowote ule utakaotujia hapa Tanzania!
 
Wakati huoakiwa waziri wa mambo ya ndani Mhe.Ali Hassan Mwinyi alifanya uungwana ambao hakuna kiongozi Tanzania anayefananishwa-ALIJIUZULU kutokana na mauaji ya Shinyanga!!!!!!!!.
Katika kikao cha waziri Vuai Nahodha na waandishi wa habari serikali imekiri kwenda kinyume na katiba pamoja na sheria zote zinazosimamia haki za vyama vya siasa nchini. Akasema kwamba wanatafuta ufumbuzi kwa njia ya mazungumzo!!! Huku ni kukiri hadharani serikali kutenda kosa-kinyume na maadili ya taifa hili; Hivi kama wangeruhusiwa kuandama kwa amani kama walivyoruhusiwa na msajili wa vyama John Tendwana kisha kufanya mkutano CCM na serikali yake wangepata madhara gani?????????
Sasa wameua raia wawili-damu yao inamlilia Mungu!!!!Hospitali ya Mt Meru Arusha wamejaa majeruhi, ambao tunaambiwa wamenyimwa huduma za tiba-Huu ni UNYAMA ambao utaamsha hisia za chuki na watu kuanza kudai kikwete AJIUZULU maana kwa kura 27% hana haki ya kutawala-ameshindwa kuongoza nchi!!!!!!
Kiungwana, waziri wa mambo ya ndani Vuai Nahodha, IGP Saidi Mwema na Katibu mkuu wa CCM Yusuf Makamba WAJIUZULU:
Makamba ndiye chnzo chz vurugu zote-alikataa ushauri wa Edward Lowasa wa kupatanisha CCM na CDM;
Kwa hili Watanzania wana haki ya kuitisha maandamano ya amani nchi nzima kulaani CCM na serikali yake kwa tendo hili la kinyama!!!!!
 
@Zomba
Hiyo intelejinsia inaaply tu kwa CHADEMA? na hao majambazi huko maeneo ya mbezi zote,tegeta, kigoma mbona haitumiki? hao mafisadi wa Richmond, EPA n.k mbona haitumiki? wageni ki2 gani hata Richmond siwalikuja kama wageni! uliona wapi taifa likaendelezwa na wageni?

Tatizo una mawazo mgando na uwezo finyu wa kufikiri "KILAZA"

Kwny JF hutufai ww maana hapa ni "The great Thinker" Kwenda ukacheze KIDUKU huko
 
Mwanzisha hoja Zomba HAKUFIKIRIA kabisa kuwa DEMOKRASIA ni bora mara elfu kuliko ugeni wowote ule utakaotujia hapa Tanzania!

Demokrasi ni kuingia mitaani na kuanza fujo? Demokrasia ni kukaidi amri ya jeshi la polisi?

Kama mngekuwa mnaijuwa demokrasia msingeyafanya yote hayo. Kwa kipi kikubwa kilichowafanya muingie mitaani na kusababisha umwagikaji wa damu? kama si roho mbaya na fitna na uzabizabina?
 
kazi kweli...eti wageni? Kaangalie movie inaitwa the battle in seattle ndo utajifunza! ugeni?? hizi ndo fikra duni na za kipumbavu zinazotawala Tz. AMKENI!!!
 
@Zomba
Hiyo intelejinsia inaaply tu kwa CHADEMA? na hao majambazi huko maeneo ya mbezi zote,tegeta, kigoma mbona haitumiki? hao mafisadi wa Richmond, EPA n.k mbona haitumiki? wageni ki2 gani hata Richmond siwalikuja kama wageni! uliona wapi taifa likaendelezwa na wageni?

Tatizo una mawazo mgando na uwezo finyu wa kufikiri "KILAZA"

Kwny JF hutufai ww maana hapa ni "The great Thinker" Kwenda ukacheze KIDUKU huko

Yes, haya ya wawekezaji ndio yanayowauma nyinyi, mnaona kama walowakaribisha watafaidika sana. Ngojeni mchukuwe madaraka ki Demokrasia sio ki Demonstration.

Mnachikidai ni nini haswa? kura mmeshindwa, ingekuwa mnajiamini sana mngeshinda kwenye uchaguzi..

Hamuwezi kulazimisha kitu ambacho hamkiwezi.
 
Zomba,

Na yale maandamano ya CUF ya kupeleka rasimu ya katiba kulikuwa na wageni wepi? Au kisingizio gani? Nao pia si waliambiwa wasiandamane?

I see , "system at work". Unafanya damage control?

Sasa mumewaridhisha vipi wageni wenu kwa kupiga Raia risasi moto?
Walisema wanahitaji damu ya muhanga ndio waje waekeze vitega uchumi vyao?

Uzombi ndio huo!
 
kwahiyo akiwepo mgeni ndio ufiche shida zako

Shida yako haswa ni nini? kama kura mmeshindwa, tena vibaya sana. Wabunge hata nusu ya CCM hamjafikia, si msubiri muda wenu ukifika, na siasa zenu hizi za fujo, sasa wa Tanzania ndio kabisaaaaaaa wameshawashtukia. Hata wale wachache waliokuwa wakiwaung mkono, sasa mnawakosa.
 
Zomba,

Na yale maandamano ya CUF ya kupeleka rasimu ya katiba kuliwa na wageni wepi? Au kisingizio gani? Nao pia si waliambiwa wasiandamane?

I see , "system at work". Unafanya damage control?

Sasa mumewaridhisha vipi wageni wenu kwa kupiga Raia risasi moto?
Walisema wanahitaji damu ya muhanga ndio waje waekeze vitega uchumi vyao?

Uzombi ndio huo!

Uliona CUF walifanya fujo? walichoma moto magari? walivunja maduka ya watu?
 
Hakuna mantiki yoyote kwa wana siasa walio mahiri kulazimisha maandamano yafanyike wakati kuna wageni, tena wawekezaji muhimu ambao hakuna nchi katika hii dunia yetu ya sasa isiotaka wawepo au watembelee kwao.
 
Back
Top Bottom