INTELIJENSIA: Ziara ya Waziri Mkuu Bandarini

Asa
nguruvi3 kila siku anahubiri mfumo humu

watu bado mnaamini kwenye 'individual brilliancy '

Kungekuwa na mfumo waziri mkuu wala asingekwenda bandarini
ingejulikana meter ni mbovu na mhusika mzembe
Asante Mkuu, well said!
Institution za nchi ndio tatizo.
Na ni tatizo kwa sababu viongozi wote wa hizo institution wanachaguliwa na mtu mmoja 'Raisi"
 
hahaa mfumo ungemwambia ati...kwani yeye aliwiwa tu kwenda bila kuambiwa na watu?

halafu huo mfumo mnaolilia kilasiku ukiuliza vizuri unaambiwa katiba mpya ambayo itaketa mfumo wa serikali tatu...


sasa nyinyi watu mnasahau kuwa mfumo ni sheria madhibuti na sio mfumo ni serikali tatu...sheria Tanazania zipo ila tulikosa wasimamiaji mithili ya magufuli na majaliwa...

masuala ya mifumo ni kauli za kisiasa tu na huko kwa taarifa yako tumeishatoka...

Hivi unafahamu maana ya mfumo kweli?
 
Hayo mashaka ndo mwanzo wa kuonesha kweli huna uelewa na usalama wa taifa,information kumfikia nayo yawezekana ni mbinu ya ushahidi kwa kilichotarajiwa,no link of info wewe hujiongezi kuwa waziri mkuu anajua kuwa alitumiwa sms? Kama wanauwezo wa ku track kuwa alitumiwa sms unakuwaje na mashaka kuwa hawamjui mtumaji?
Bila shaka wewe ni askari maana umeandika maneno mazito sana
 
Tuliangalie hili kwa makini sana. Jana wakati Waziri Mkuu akiwa anatembelea kukagua Kurasini Oil Jet (KOJ) aliambatana na Mkurugenzi Mtendaji wa Wakala wa Vipimo (WMA) pamoja na wakubwa wengine. Swali alilomuuliza huku akitaka maelezo yake yatolewe ni ......KWA NINI ULIAMUA KUWASHA METER JANA BAADA YA KUTUMIWA UJUMBE WA SMS?...... Kwa jicho la weledi ni kwamba katika timu ya watakatifu waliowazunguka Majaliwa na JPM wapo wanaouza taarifa kwa watuhumiwa watarajiwa.

Kiintelejensia hili limekaaje?

Inanipa mashaka hata ulinzi wa viongozi hawa ambapo inawezekana Watanzania wasio wema wakaamua kuwauza ili waondoke mbele ya macho ya Watanzania wenye kuhitaji huduma zao.....
Mkuu hapa ndipo ninaelewa kwanin magufuli anaomba maombi.
Kumbuka huu uvundo ni wa miaka 5 ambao mtangulizi wake kwa kulijua hili au kutolijua hakulishughulikia,
Na hawa wana intelijensia wengine wamenufaika na itawala ulopita, kwa kupandishwa madaraja nk, hivyo endapo watajua kuwa kuna jambo ambalo serikali ya jpm amekusudia kufanya lolote linalogusa awamu ya 4 lazima wavujishe siri kwa jk ili ajue namna ya kuzima soo
 
Wakati anahutubia bunge kwa mara ya kwanza raising Magi alisema namnukuu"kiongoz Wa umma tukikuchagua tutawafatilia na km tukikugundua na tukajilidhisha kua unahihusisha na rushwa hututakaa kimya tutakushughulikia" mwisho Wa kumnukuu. Kilichotokea Jana ni kua kwa SAS viongoZ Wa umma wanachunguzwa San mienendo yao serikali akigundua unaajihusisha na rushwa umekishwq
 
Serekali ya Ccm ipo uchi miaka yote,Ilivyaa nguo enzi ya mwalimu tu.Kwa sasa kwa Ccm hamna siri,tena kwa mwendo huu wa kukurupuka na kufukuza ovyo.Ndio kila kitu kitakuwa kinawekwa hadharani wao wakiamini kwao ni siri.
naona aibu sana kwa yanayotendeka ndani ya nchi yangu , noma kweli !
 
mkuu mi sipo hapa kubishana maana wote ni wapuuzi wamesha tufanya sie mavuvuzela. wao wanapiga pesa kama unavyosikia sie tunatukanana humu.
Vijana wenzangu wangekuwa kama ww tungefika mbali maana 4 all zose 8 solid year walikuwa hapa wakisema uchafu wa lowasa 2 month to go wanatuagiza tumtandikie nguo apite juu yake kwa mwanakondoo aliembeba yesu kutoka yeriko kwenda jerusalem politician wote waongo ndo maana always i trust no body to the foolest
 
Kama mimi ningekuwa Rais Magufuli huyo aliyevujisha nafikiri ningekuwa nishamtia ndani.
 
Dada yetu wamemuonea bure aisee!! Wala siyo mwizi tatizo mfumo.

Pole sana dada M, Chuwa
 
Naona umeanza kuwatumikia mafisadi akina Reginald Mengi na Lowasa. Pole sana
Nyie ndo wanafiki wajaza tumbo, hata jambo lenye ukweli wewe unaleta ukada. Wewe unaisi mjukuu wako atapata nini kama waliotajwa wataendeleza unafiki wao? tunaishi nao tunawajua wewe unabisha.
 
Back
Top Bottom