Intel Alert: Wamiliki wa nyumba walizwa na utapeli mpya; Wauza nyumba zao bila kujua

........huwezi kuvunja mkataba on the ground kuwa uliingizwa mkenge.

EMT una uhakika sheria zetu hazina nafasi ya kuvunja mkataba kwa ground za kuingizwa mkenge au kupotoshwa au urubuniwa kwa namna moja au nyingine ?????

Hivi anayedraft mkataba ni muuzaji au mnunuaji? Nakubali mkataba uliondaa wewe unaweza usiwe na scope na vigezo vyote yote amabayo wanahitaji mashirika kama world bank au watu marufu. Lakini sio wewe, ni mwanasheria wako, ndie anayetakiwa ku draft huo mkataba on your behallf. Ukidraft mwenyewe hutajua ni vipengele gani uweke na vipi uache unless na wewe ni mwanasheria, tena wa sheria za ardhi. Hata mashirika kama world bank au watu maarufu mikataba yao inakuwa drafted na kupitiwa na wanasheria.

NDio maana nimesema ni trust zaidi inatumika ya mashirika makubwa ambayo hawa matapeli wametumia loophole hiyo. kuna watu hawajui hata wanasheria. Kuna watu hata mikataba simple wa kupangisha nyumba template ya mkataba anaomba aandikwe na watu wa internet ... hiini mifano hai na nimeiona ya sheria kwa watanazania wengi.

Sasa hata ukitumia mwanasheria sometime anaweza akaandika mkataba mzuri lakini usikave vigezo vyote vinayotakiwa na lile shirika kubwa. Ndio maana nimesema mara nyingi kama muhiska ni wazee wetu unakuta haya mashirika yanayomanika yanaadaa mkataba kwa sbabu yanakuwa yameshapata brefing za mwenye nyumba basi hakuna anayepunjwa. Then mwenye mali kama anawasi wasi anatafuta mwansheria kungalia ule mkataba ulliondaliwa na mpangaji.....

Ukitaka wewe kuandika mkataba wa kuwarushu VODACM aua Tigo waweke mnara wao hata ukitafuta mwasheria unaweza kufanya miznguko kibao Unless Pia wapangishwaji hao special wakupe vitu gani vya zaida uviweke kwenye mkataba.

Hao watu waliongizwa mkenge kama wangekuwa wamewatumia wanasheria walio specialise kwenye property law au wataalamu wa ku draft na kusoma mikataba wala wasingeingizwa mkenge. Tena kama mkataba wameudraft wenyewe lazima niupeleke kwa mwanasheria au specialist wa real estate acheki kama uko kama nilivyokubaliana na upande wa pili. Tatizo wabongo tunajifanya tunajua kila kitu

Mkuuu nadhani tusialumu watanzania. uelewa uliona wewe si zaidi ya watzania 25% walionao. Sasa Ndio maana nasema theoreticaly unachogea ni sahihi lakini onthe grund kuna matatizo. Mbona hata TANESCO yenye access na wanasheria wazuri wameingizwa mkenge na RICHMND.

Kuna sheria na watu. kuna watu kwa utaalamu wao wa sheria wanatumia seria hizo hizo kuvunja sheria. Kuna sheria nzuri zisipotafisiriwa vizuri zinatumika kumyima mtu haki.

So hata kwa case yako wewe unaweza kutapeliwa watu wakifanya upelelezi wakamju mwanasheria wako . Assume wameenda ku looby nae bila wewe kujua . Then unaenda kumuuliza ushauri anakwambia hauna tatizo. wewe unaweka sugnature. kumbuka hawa matepeli ni watu smart sana.

Jamani kutapeliwa sio mara zote ni ushamba. Kuna watu wako smart ku-abuse system fulani na trust iliyopo katika jamii. Ukitaka kujua matapeli na "wasanii" walivyo na akili nenda zero brain ujarbu kupata story na ujue watu wanavyofanya kazi. kuna watu wako smart wamewkeza aili zao sehemu mbaya
. Hata kweye capital econmy za majuu zipo sheria za kuwa linda vulnerable au avarage people.

Kama hata vyama vya huru na vya kiseriali vya wanasheria vinasikia utapeli huu na majibu yaoa yakiwa hawawezi kufanya kitu basi sheria zetu nazo zimekuwa siasa
 
  • Thanks
Reactions: EMT

EMT una uhakika sheria zetu hazina nafasi ya kuvunja mkataba kwa ground za kuingizwa mkenge au kupotoshwa au urubuniwa kwa namna moja au nyingine ?????

NDio maana nimesema ni trust zaidi inatumika ya mashirika makubwa ambayo hawa matapeli wametumia loophole hiyo. kuna watu hawajui hata wanasheria. Kuna watu hata mikataba simple wa kupangisha nyumba template ya mkataba anaomba aandikwe na watu wa internet ... hiini mifano hai na nimeiona ya sheria kwa watanazania wengi.

Sasa hata ukitumia mwanasheria sometime anaweza akaandika mkataba mzuri lakini usikave vigezo vyote vinayotakiwa na lile shirika kubwa. Ndio maana nimesema mara nyingi kama muhiska ni wazee wetu unakuta haya mashirika yanayomanika yanaadaa mkataba kwa sbabu yanakuwa yameshapata brefing za mwenye nyumba basi hakuna anayepunjwa. Then mwenye mali kama anawasi wasi anatafuta mwansheria kungalia ule mkataba ulliondaliwa na mpangaji.....

Ukitaka wewe kuandika mkataba wa kuwarushu VODACM aua Tigo waweke mnara wao hata ukitafuta mwasheria unaweza kufanya miznguko kibao Unless Pia wapangishwaji hao special wakupe vitu gani vya zaida uviweke kwenye mkataba.

Mkuuu nadhani tusialumu watanzania. uelewa uliona wewe si zaidi ya watzania 25% walionao. Sasa Ndio maana nasema theoreticaly unachogea ni sahihi lakini onthe grund kuna matatizo. Mbona hata TANESCO yenye access na wanasheria wazuri wameingizwa mkenge na RICHMND.

Kuna sheria na watu. kuna watu kwa utaalamu wao wa sheria wanatumia seria hizo hizo kuvunja sheria. Kuna sheria nzuri zisipotafisiriwa vizuri zinatumika kumyima mtu haki.

So hata kwa case yako wewe unaweza kutapeliwa watu wakifanya upelelezi wakamju mwanasheria wako . Assume wameenda ku looby nae bila wewe kujua . Then unaenda kumuuliza ushauri anakwambia hauna tatizo. wewe unaweka sugnature. kumbuka hawa matepeli ni watu smart sana.

Jamani kutapeliwa sio mara zote ni ushamba. Kuna watu wako smart ku-abuse system fulani na trust iliyopo katika jamii. Ukitaka kujua matapeli na "wasanii" walivyo na akili nenda zero brain ujarbu kupata story na ujue watu wanavyofanya kazi. kuna watu wako smart wamewkeza aili zao sehemu mbaya
. Hata kweye capital econmy za majuu zipo sheria za kuwa linda vulnerable au avarage people.

Kama hata vyama vya huru na vya kiseriali vya wanasheria vinasikia utapeli huu na majibu yaoa yakiwa hawawezi kufanya kitu basi sheria zetu nazo zimekuwa siasa

Mkuu uliyosema ni kweli unfortunately sheria zetu ndivyo zilivyo. Wanasema the law can ne an ass sometimes. Kuhusu sheria zetu kama hazina nafasi ya kuvunja mkataba kwa ground za kuingizwa mkenge au kupotoshwa au urubuniwa kwa namna moja au nyingine, inatengemea na circumstances of each case. Mkataba unaweza kuwa void or voidable. Mkataba ni void pale sheria inavyosema hivyo. Sidhani kama sheria inazua kuuziana nyumba.

On the other hand, a voidable contract binds one party but not the other. It is valid until it is avoided by the party entitled to avoid it (refuse to do his part). Until thus disaffirmed it is binding. Sasa hapo mkataba unaweza kuwa voidable kwa sababu umeingizwa mkenge? Jaribu cheki hizi defences hapa unafikiri ni ipi inaweaza ku apply? Getting Out of a Contract - Lawyers.com

Kuhusu watu wanaoandikiwa mikataba na watu wa internet kwa kweli hili ni tatizo lao na society kwa ujumla na sidhani unaweza kujitetea mahakamani kwa hilo. Kuhusu mwanasheria kuwa sometimes anaweza akaandika mkataba mzuri lakini usikave vigezo vyote vinayotakiwa then hapo atakuwa hajafuata instructions ulizompa na hiyo yenyewe ni professional misconduct. Unaweza kumshtaki ku recover damage uliyo suffer. Na kama mwanasheria wako anaenda ku loby nao then hapo kutakuwa na conflict of interests. Tatizo suala la professional responsibility ni kama vile halipo Tanzania. Ndio maana sometimes professionals kama wanasheria wanakuwa careless. Pia tuna tatizo la uhaba wa wanasheria lakini ndio hivyo tena.

Stili inaweza kuwa ni fraud ambalo ni kosa la jinai. Lakini nafikiri the best way ni deal hii scam in the first place ili isitokee. Lakini tukitengeza mazingira ya scams kama hizi kuwepo, tukishakuwa scammed itakuwa ngumu sana ku recover what we have lost. Don't to sign any contract with a company unless you have made due diligence on the company. Ni hii ni muhimu sana kwenye property transactions. Hii haina maana sikubaliani na mengi uliyosema. Kwenye jamii yetu tunapenda kufanya mambo kimkato kutokana na matatizo tuliyonayo tayari.
 
Sio mara zote lazima mwenye nyumba ndio aandike mkataba mkuu .Mkataba uliondaa wewe wewe unaweza usiwe na scope na vigezo vyote yote amabayo wanahitaji mashirika kama world bank au watu marufu. Mara nyingi mashirika makubwa yaipanga kwa kwa mtu individual wao ndio wanaandika mkataba bada ya majadiliano na mwenye mali then mtu unachotakiwa kufanya ni kutafuta mwanasheria aupitie na kukushauri kuw aatia viklombwezo vyao wavilivyoongeza hakuna kunachopindisha mkataba wako wa kupangisha.

Theoreticlly umesema ni sahii lakini practically mashirika mengi yaliypanga kwa watu ndio yanaadaa miatakaba .Hapo tean wapangishaji wengine hawatafuti hata wanasheria. Ni TRUST tu. So matapeli wametumia ule mwanya wa trust.

Huo ndiyo naouita uzembe, maana hizo world bank, na hayo sijui mashirika ya kimataifa hayako Tanzania tu. Nyumba ni yangu....... You need it I am the boss period. If those guys are too big than my house then why want it anywayz? Suala la scope nzima ya mkataba ni suala la majadiliano lakini si eti wewe utoke huko uliko toka na maandishi yako halafu mimi nisaini. Nadhani mtizamo kama wako ndiyo walio nao watendaji wetu usikute hizi Barrick, Anglo ndiyo huwa zinawafanyia hivyo.
 
EMT
Kuna kitu kinaitwa mkataba wa kidanganyifu. You can get out of that. Kuna issues nyingi hapa Marekani vibibi vizee viliingizwa mkenge na jamaa tapeli aliyewadanganya wa"refinance" nyumba zao kumbe walichokuwa wanafanya ni kumkabidhi tapeli huyo ownership wa hizo nyumba. Walipogundua wameingizwa chooni walipeleka malalamiko yao kwa Better Business Bureau ambayo ilifanya upelelezi na kuwasaidia kurejesha hizo nyumba na matapeli hao kuchukuliwa hatua ikiwa ni pamoja na kufunguliwa mashtaka mahakamani. Kwa sheria za nyumbani sijui lakini nina hakika kama ukiweza kuthibitisha kuwa lengo lako lilikuwa ni kumruhusu mnunuzi apangishe kwa miaka miwili na siyo kumuuzia hiyo nyumba kwa bei ambayo by any standards ni below market price wanaweza kufanikiwa kuwatia hatiani matapeli hao.
 
Kama tulivyoifumua DECI lets stop do it again.. !!!
sidhani kama kasheshe la DECI mmeliweza unataka kuniambia hujui serikali imekosa ushahidi wa kuwashtaki wahusika na ikabakia kuhairisha kesi kila siku ila sasa hivi wamepewa last chance!!!kama una ushahidi wasaidie serikali ili waache kuhairisha kesi.
 
Ahsanteni wote,
Kuna matatizo matatu. La kwanza ni watanzania wenyewe, Pili professionals na mwisho usalama

Watanzania tuna uvivu flani wa kuelewa mambo,
(a) kama mtu kaandika mkataba kwanini asikupe nafasi ya wewe kuupitia! Unakubalije kusaini mkataba posta mpya na ni kwa haraka gani.
Labda ni kuenzi viongozi wetu kama Karamagi aliyesaini mkataba wa nchi Bed&breakfast London, vinginevyo ni suala la umakini tu linahitajika

(b) Hatupo tayari kuwatumia wataalaam kwa sababu tu ya kuogopa gharama. Kweli lawyer ni ghali lakini si kama kupoteza nyumba.

(c) Wanasheria wawe wabunifu wapunguze ada zao kuvutia wateja, graduate huhitaji jiungeni fungueni ofisi na mtoze ada zinazolingana lingana na issue na wateja wenu. Unaweza kuwa lawyer wa kupitia mikataba ukaishi vema kabisa. Think about this.
Nchi za wenzetu kuna mtu anitwa Notary Public and commissioner for oath, utamkuta ana kaofisi kake karibu na varsity au college anaishi vema tu ku certify document kwa mhuri wake. Watu wakishaona thamani ya kazi yako utakimbia wateja

2. Usalama: Nchi hii neno usalama wa taifa limebaki maktaba, utashangaa baada ya haya kuandikwa hao watu watanaswa na polisi. Si mnakumbuka matapeli wa dawa za mifugo wa FAO.
 
EMT
Kuna kitu kinaitwa mkataba wa kidanganyifu. You can get out of that. Kuna issues nyingi hapa Marekani vibibi vizee viliingizwa mkenge na jamaa tapeli aliyewadanganya wa"refinance" nyumba zao kumbe walichokuwa wanafanya ni kumkabidhi tapeli huyo ownership wa hizo nyumba. Walipogundua wameingizwa chooni walipeleka malalamiko yao kwa Better Business Bureau ambayo ilifanya upelelezi na kuwasaidia kurejesha hizo nyumba na matapeli hao kuchukuliwa hatua ikiwa ni pamoja na kufunguliwa mashtaka mahakamani. Kwa sheria za nyumbani sijui lakini nina hakika kama ukiweza kuthibitisha kuwa lengo lako lilikuwa ni kumruhusu mnunuzi apangishe kwa miaka miwili na siyo kumuuzia hiyo nyumba kwa bei ambayo by any standards ni below market price wanaweza kufanikiwa kuwatia hatiani matapeli hao.

Mkuu nakubali kuna mikataba ya kidanganyifu. Lakini pia ni muhimu kujua kuwa mikataba ya kuuziana ardhi/nyumba are treated differently from other normal contracts. A contract for a sale of immovable property must be in writing. The aim ni kuepukana na mikataba ya kidanganyifu (fraud) na kwamba ni vigumu kwa layman kuwa aware na gravity ya kuingia kwenye mikataba ya kuuza ardhi/nyumba. Ndio maana sheria inasizitiza kufanya due diligence ya kutosha kabla ya kuuza/kununua ardhi nyuma. Otherwise utaingia mkenge na ukishaingia mkenge ni ngumu kujinasua. Of course, inawezeka kuna fraud imefanyika lakini kama mtu aliweza kumwajiri fundi akamjengea nyumba yake mpaka ikakamilika sioni ni kwa nini akose senti za kumlipa mwanasheria amtengenezee mkataba wa kupangisha hiyo nyumba.

Halafu kwenye mikataba ya kuuza ardhi/nyumba huwa kuna vitu viwili ambavyo ni mkataba wa kuuza wenyewe and the actual transfer of the deed. The typical real estate sales contract does not actually pass property title from seller to buyer. Rather, it is merely a promise by the seller to convey the property to the buyer at some specified date in the future. Title actually passes when the seller makes a legal delivery of the real estate deed to the buyer. Sasa kama walisaini mkataba, when did the actual transfer took place? When did the victims deliver the deeds to the company? Na kwa nini umkabidhi mpangishaji deeds za nyumba yako? Utaniambia ni ignorance, but ignorance is not a defense.

Hapo kwenye red kwa issue kama hii utawaweza kudhibitisha kivipi kama wewe mwenyewe ulisaini mkataba bila kuusoma au kuuelewa? I am sure kama ungeusoma mkataba definitively ungetambua kuwa unauza na sio kupangisha nyumba. Pia kisheria consideration must be sufficient but need not be adequate. Agreeing to sell your house for 10 shillings may still constitute a binding contract. Bei kuwa below market price does nullify a contract. Richard Branson aliuza maduka yake ya CD kwa pound moja tuu na mkataba ulikuwa valid. Huwa kuna defense ya unconscionably (bargaining power imbalance) lakini hapa tutaangalia bargaining power ya kupanga au kuuza nyumba?

Kuhusu hao bibi vizee nafikiri ni vulnerable people na wanaweza kupata protection zaidi ya watu wa kawaida. Ndio maana nikasema each case ina vary kulingana na circumstances zake. Kama walioingizwa mkenge hapa Tanzania walikuwa bibi vizee then hapo unaweza ku argue kulikuwa na economic durres due to the victims' age. Halafu equivalent ya Better Business Bureau hapa Tanzania ni ipi ili iweze kuwasaidia hawa victims? Thats another problem we have.

Ushauri wangu kwa watu ni kwamba kama unaingia kwenye mkataba na hukuandaa huo mkataba make sure you don't only read every word, but you also understand every word used in the contract. Na kama una wasiwasi na neno lililotumika au hulielewi tafuta independent advice. Itakugharibu a penny but surely you won't loose your house au gharama na muda wa kufuatilia mahakamani na kwingineko baadae. Nonetheless kuna umuhimu wa vyombo husika kufuatilia hili suala maana kuna uwezekano wa kumefanyika kwa fraud and forgery.
 
Huo ndiyo naouita uzembe, maana hizo world bank, na hayo sijui mashirika ya kimataifa hayako Tanzania tu. Nyumba ni yangu....... You need it I am the boss period. If those guys are too big than my house then why want it anywayz? Suala la scope nzima ya mkataba ni suala la majadiliano lakini si eti wewe utoke huko uliko toka na maandishi yako halafu mimi nisaini. Nadhani mtizamo kama wako ndiyo walio nao watendaji wetu usikute hizi Barrick, Anglo ndiyo huwa zinawafanyia hivyo.

Haya mkuu
Kutapeliwa ni uzembe lakini yeyote anaweza kutapeliwa. But kwa uwa umenifananaihs ana wasign miataba ya barric basi tuishie hapo. Nilichonadia mimi nimekiona sio thery ni hali halisi ya watanzania wengi. una hitaji kuwap na taasisi na mfum wa kuwalinda trust iliyopo katia jamii za kiafrika isizidi kupotea. Nimeandika kue juu TANESCO ina cess na mawaili wazuri lakini je DOWANS ilikuwaje. What if hata wakili au mwaasheria wako akimua kukuzunguka?

Tanzania imefika hapa ilipo sio tu kwa saabu ya watu wa kawaida kuwa wazembe ni kwa sbabau tunao hata wanasheria waliomaliza havard na mawakili wa UDSM na vyuo wengi lakini pia na wao ni binadamu they can be corupt. Lazima iwepo njia ya kubatilisha kituamabcho haikufanywa kwa njia njema na dhuluma hata kama kulikuwa na uzembe

But nimekusoma kamanda Tanznaia inahitaji watu kama wewe

EMT
Kuna kitu kinaitwa mkataba wa kidanganyifu. You can get out of that. Kuna issues nyingi hapa Marekani vibibi vizee viliingizwa mkenge na jamaa tapeli aliyewadanganya wa"refinance" nyumba zao kumbe walichokuwa wanafanya ni kumkabidhi tapeli huyo ownership wa hizo nyumba. Walipogundua wameingizwa chooni walipeleka malalamiko yao kwa Better Business Bureau ambayo ilifanya upelelezi na kuwasaidia kurejesha hizo nyumba na matapeli hao kuchukuliwa hatua ikiwa ni pamoja na kufunguliwa mashtaka mahakamani. Kwa sheria za nyumbani sijui lakini nina hakika kama ukiweza kuthibitisha kuwa lengo lako lilikuwa ni kumruhusu mnunuzi apangishe kwa miaka miwili na siyo kumuuzia hiyo nyumba kwa bei ambayo by any standards ni below market price wanaweza kufanikiwa kuwatia hatiani matapeli hao.

Thanks mkuu suala hili ndilo nilikokuwa naongealea naona kuna mdau yeye anadhani uelewa wake basi ndio watanzani wote walivyo .....

Nguruvi said:
(b) Hatupo tayari kuwatumia wataalaam kwa sababu tu ya kuogopa gharama. Kweli lawyer ni ghali lakini si kama kupoteza nyumba

Nguruvi tuchukue mfano wa TANESCO . Je haina lawyer wazuri ndio maana wakaingia mkenge. Mi nadhani lawayer nao eni binadamu. hatuwezi kujua kwa case ya tanesco labda wanachukua chapaaaa huku na huku. So kuwa na lawayer tu sio mara zote kutandoa tatizo..... Ila kwa Tanzania mhhhh
 
safi sana kwa kufichua hili,wale ambao mpo magazetini mtoe habarii hii ili iwafikie wananchi wote
 
Back
Top Bottom