'Insurance firms favour foreign workers'

nngu007

JF-Expert Member
Aug 2, 2010
15,862
5,797
LOCAL workers in the insurance sector are up in arms with their employers over alleged favouritism towards foreign employees.

In a four-page electronic mail dated February 2, this year, sent to the Commissioner of Tanzania Insurance Regulatory Authority (TIRA), Mr Israel Kamuzora, the local employees complained that Kenyans and Asians are favoured - often occupying high-ranking positions at the expense of the locals.

"It is a well rooted syndicate involving most private foreign insurance firms and brokers. They only consider nationalities from Kenya and Asia for higher posts in their companies," they charge in the letter.

The disgruntled workers stressed that they were not complaining just out of envy or low understanding, but rather due to mistreatment by their foreign employers.

"Whenever there is a vacancy for a managerial position, they (the employers) usually allege that there are no qualified Tanzanians to fill it," the letter reads in part.

Mr Kamuzora is also understood to have written to the Association of Tanzania Insurers Chairman (TIA), Mr K. V. Krishnan, regarding the issue and proposed a meeting between the parties involved.

"I have been receiving anonymous messages with serious allegations against insurance employers in our industry. The whole issue is about foreigners and us the locals," reads part of the letter to Mr Krishnan.

In the letter dated February 8, 2011, Commissioner Kamuzora proposed a meeting between players in the industry in the quest to address the matter. "It will be very grateful if all of us shall give this matter, the weight it deserves," Mr Kamuzora wrote.

Whether that meeting was convened or not is still unclear but Commissioner Kamuzora told the 'Daily News' in an interview that there would be a meeting on April, 1, this year, to discuss the issue.

"It is true that there have been complaints from local Tanzanians in the sector. This will come up for discussion on April 1 where all respective stakeholders will be present," Mr Kamuzora said on the sidelines of an occasion to launch the Social Security Regulatory Authority (SSRA) in Dar es Salaam recently.

The workers cited one of the insurance firms which, on its top ten managerial posts, only one position is occupied by a Tanzanian.

"We (Tanzanians) could have our weaknesses. We don't want to be favoured but fair treatment is crucial," they pointed out in their letter, worried to mention their names for fear of being victimized.

According to the latest insurance performance report of 2009, the total insurance industry workforce as at the end of 2009 consisted of a total of 2,545 members of staff, compared to 2,604 in 2008.

This decrease, the report states, was mainly attributed to a massive staff retrenchment exercise carried out by NIC (National Insurance Corporation) during the year under review, as part of its on-going restructuring initiative.

Out of these, 886 employees (34.8 per cent) were working in insurance companies (2008: 38.8 per cent), while 1,659 (or 65.2 per cent) were engaged in insurance agencies, broking houses and loss assessors and adjusters' firms.

At the end of December 2009, the sector grew by 21.2 per cent to 231.2bn/- from 190.9bn/- in 2008.

In the report, Mr Kamuzora cited lack of facilities in the country for training professionals in the field that have direct bearing to the development of the industry including, actuarial science and other related risk management studies, as among the challenges afflicting the sector.

During the period under review, the largest share of general insurance business 24.5 per cent was held by Alexander Forbes (T) Limited followed by AON Tanzania Limited, 17.7 per cent and MIC Global with 15.6 per cent.

The three handled about 58.0 per cent of the entire general insurance broking industry business, while the rest transacted the remaining 42.0 per cent.
 
Japo tutasema tunaonewa lakini kusema kweli sisi ni wavivu. Hatuko creative. Tunapenda ajira na sio kazi. Tukipata ajira tunakuwa tunasubiri mwisho wa mwezi ufike tuchukue chetu. Nani kati yetu ataanzisha kampuni binafsi halafu baadaye atoe ajira kwa mtu asiye mchapakazi? Tubadirike.
 
Umeona eeeeeeeeehhhhhhh!!!!!!!!!!!
 
Tatizo watz ni wavivu na wanapendelea zaidi vyeo kuliko kuangalia ufanisi wao.
Japo siyo kweli kuwa hakuna watz wenye uwezo wa kuwa mameneja lkn pia siyo lazima meneja awe mbongo hata kama hana kipaji.
Kingine haya makampuni mengi ni ya kigeni kama siyo yote na wenzetu wapo result oriented na siyo kuuza sura.
Msisahau nyota njema uonekana........
 
Halafu waTz wanapenda position na pesa nyingi wanasahau mwenyebiashara anatarajia utendaji bora na faida! Wenzetu wa Kenya walishazoea private sector na wanajua waajiri wanataka results na wala si uraia wa mtu. Regulator atakuwa mjinga sana kama akisikiliza hizi kelele za wavivu!
 
Hakuna Mtanzania aliyemvivu acheni ujinga wenu nyinyi aua sio Watanzania? Mbona Kenya hawatoi kazi kwa watanzania? huu ni Ubaguzi na Wizara ya Kazi na mambo ya Ndani ihakikishe kuwa kunakuwa na limitation ya kuajiri wageni sio la sivyo yatakuja kutokea mambo ya wazawa kuanza kuwachukiwa wageni na mwisho wake Watnzania wataanza kuwapiga wageni hili swala Serikali waliangalie kwa makini na walisolve haraka sana na kuhakikisha wazawa wanapatiwa haki yao sio kunyanyasika katika nchi yao. Uzawa mbele wageni baadaye, TRA wanawabana sana Wazawa lakini kwenda kukusanya kodi kwa Wageni wanaogopa, Nchi ya vilaza sana hii Kikwete ni kilaza tu
 
kuna ubaguzi mkubwa sana kwenye ajira especially kama kampuni ni ya wakenya au wahindi
watu walikuwa hawaendi KCB mpaka ikabidi ibadili tabia na kuanza kuweka waTZ
vijana wapo kibao ambao wanachapa kazi
ukiangalia tigo hamna senior manager yeyote ambaye ni mbongo, wote wana visa za consultant halafu wakifika pale wanapewa vyeo vya ma manager
ukiangalia NMB director mmoja tu ndio mtz ukiangalia crdb wabongo ndio wengi na inafanya vizuri, NMB wameleta HR mgeni benki kuu wakawakatalia wakawaambia hamuwezi kuwa na director mmoja tu mtz na wengine wote wageni

mwanachi mkurugenzi mkuu ni mkenya na advertising manager pia ni mkenya, yaani huyu advertising manager visa yake imeisha sasa hivi anataka kuongeza mda home office wamemkatalia, sasa hivi hawataki kutangaza kazi wanataka kumleta advertising manager mwingine
kutoka kenya, mbona the guardian advertising manager ni mbongo na anafanya kazi nzuri tu

waTZ wanabaguliwa sana kwenye nchi yao
 
Japo tutasema tunaonewa lakini kusema kweli sisi ni wavivu. Hatuko creative. Tunapenda ajira na sio kazi. Tukipata ajira tunakuwa tunasubiri mwisho wa mwezi ufike tuchukue chetu. Nani kati yetu ataanzisha kampuni binafsi halafu baadaye atoe ajira kwa mtu asiye mchapakazi? Tubadirike.

Ndg Siyo kweli kwamba WaTZ wote wavivu, watu tunachapa kazi, huko europe pamoja na kuwa na EU na free movement of labour, nchi nyingi wanatanguliza watu wao hata kama unachapa kazi vipi. Acheni kudharau waTZ, haya makampuni yanapata pesa kutoka kwa hao WaTZ unaowaita wazembe. Ukweli wanatushangaa tulivo wapole wa kuacha kazi wachukue wageni. PLSE WANA JF, MBONA TUNAKATISHANA TAMAA WENYEWE. Wenzenu wanapeana ajira wala si uchapakazi ukiangalia sana anampa wa kabila lake. Wewe unabakia kuwaita WATZ wote wavivu. Si kweli.
 
Tatizo watz ni wavivu na wanapendelea zaidi vyeo kuliko kuangalia ufanisi wao.
Japo siyo kweli kuwa hakuna watz wenye uwezo wa kuwa mameneja lkn pia siyo lazima meneja awe mbongo hata kama hana kipaji.
Kingine haya makampuni mengi ni ya kigeni kama siyo yote na wenzetu wapo result oriented na siyo kuuza sura.
Msisahau nyota njema uonekana........

CCM imetupeleka mpaka tumekosa kujiamini kabisa. Sasa ili mradi hayo makampuni yamekuja na yanafanya biashara TZ kwa ajili ya waTZ na yanapata faida, basi yatapenda TZ na lazima tuyape jukumu la kuwatrain waTZ on job or college to their standard ili kuchukua nafasi za foreigners. Najua ni vigumu kwao kuzoea tabia zetu, lakini ili mradi wanapata faida hapa kwetu basi wanajukumu la kuwaajiri watz na kuwafanya wa assimilate kwenye culture za mashirika yao - haitakua kazi kumbadili anayepinda kunywa chai, apende kunywa kahawa kama wao nk. Hii si kazi ngumu, mbona hao foreigners kwenye mashirika wana local girlfriends.

Hakuna ajuaye kila kitu baada ya kuhitimu chuo, mambo mengi yapo na hujifunzia kazini na hao wageni tutashukuru wakitufundisha ustadi wao wa huko kwao. Sasa je CCM yaweza simamia hizi sera, hapo ndo tatizo. Kilichobaki ni kua tunapoona kampuni fulani imejaza wageni tu kwenye biashara inayohusu WATANZANIA inabidi kuwakaba koo hao management, ikibidi goma - serikali ya CCM ipo too bussy kushughulikia mambo haya.
 
Private sector inaajiri inavyoona inafaa ili kujiongezea tija kwa kadiri inavyowezekana. Biashara ambayo itazingatia vigezo vya utaifa tu bila kuangalia tija katika kuajiri itakwama.
 
The problem with we,tznians is that we are not creative. this is our country and we have to work harder to reach where kenyans are. precisionair management is under kenyan national but atcl management is 100pc tznian. see what is happening to atcl? kenyans are there bcs of discipline and hard working which most of us, tznians lack.
 
Nakubaliana na pande zote mbili hapa.Ni kweli kuna wabongo ambao si wachapakazi na wanataka vyeo na mishahara minono ili wauze sura.Ni kweli pia kuwa baadhi ya hayo makampuni ya kigeni kama siyo yote yana ulimbukeni wa kudharau wabongo,wakidhani ni wavivu,siyo wasomi,hawajui kiingereza nk
Hivyo pande zote mbili hapa itabidi zibadilike ili tupate equillibrium!
 
Japo tutasema tunaonewa lakini kusema kweli sisi ni wavivu. Hatuko creative. Tunapenda ajira na sio kazi. Tukipata ajira tunakuwa tunasubiri mwisho wa mwezi ufike tuchukue chetu. Nani kati yetu ataanzisha kampuni binafsi halafu baadaye atoe ajira kwa mtu asiye mchapakazi? Tubadirike.

Kama wewe ni mvivu na mazagazaga mengine unayokiri hapo juu, usifikiri na wengine wapo kama wewe, Alaa?
 
i dont think companies especially private discriminate against tanznains.

a company will do what is best for its financial outcome. if hiring a kenyan or an indian over a tanzanian is what is best for the company then the company will higher a foreigner

i know it sounds harsh but this is the ugly truth of globalization. even in kenya we are having the same problem as tanzanians

airtel are building their african headquarters in nairobi and every kenyan was happy about that now 2 months later we found out that airtel has outsourced some of its business like customer care back to indian call centers while KENCALL can do that same job even better than the indians. also airtel networking stuff was out sourced to IBM while kenya data networks(KDN) could have done some of the networking stuff right here in nairobi.

my point is, at the end of the day, a private company will do what is best for the company. the company is not there worry about the locals but it is there to make money. i know it sounds harsh but this is the reality of globalization.
 
Unaongelelea mfumo huu wa bima au unageneralize?
Nimewahi kufanya kazi katika kampuni hizi za bima ni kweli zina uhindi na ukenya.
Ntakupa mfano mdogo kuna jamaa ambaye mimi pindi naajiriwa ndiye aliyenifundisha kazi yaani wao wakenya na wabongo walikuwa wanamkubali ikatokea ikatengenezwa nafasi yaani hiyo post haikuwepo so ikatengenezwa watu wakati wanaexpect huyu jamaa atapata promotion, jamaa wakamleta mkenya juu yake ambaye alikuwa anauliza kila kitu that means alikuwa hajui chochotew hakuwa mbunifu na hakuwa nakipya huyu jamaa mbongo mchapa kazi baaada ya muda akaenda zake UK leo ni Underwriting Manager wa Marsh UK.

FUATILIA VYETI VYA WAHINDI VINGI NA VYA VIHIYO WAHINDI HAWAFANYI KAZI WAO NI KUTUMA TU MWISHO WA SIKU WANAPATA SALARY KUBWA

Tujiulize kwa nini watanzania hawachapi kazi, muda ukifika wanawahi kuondoka.
Ni rahisi jamaaa wanalipana mishahara mikubwa, na overtime juu lakini wabongo wakifanya overtime hiyo imekula kwao.
Jamaa pia ni wezi hawataki wabongop washike nafasi za juu maana watazuia deal zao wewe hata stationeries wanaagiza kutoka kwao kwa bei za piga so kama watanzania watachukua nafasi za juu mana yake wataingilia maamuzi yanayowafavour wakenya.

Kifupi hata madirector wabongo wanaumizwa sana na hawa jamaa maana most of these kenyan directors wana kampuni zinazosupply to these insurance Companies at the end of the year kampuni inaripoti hasara no dividends to tanzanian directors

Halafu waTz wanapenda position na pesa nyingi wanasahau mwenyebiashara anatarajia utendaji bora na faida! Wenzetu wa Kenya walishazoea private sector na wanajua waajiri wanataka results na wala si uraia wa mtu. Regulator atakuwa mjinga sana kama akisikiliza hizi kelele za wavivu!
 
in Tanzania as in other developing countries,the history of insurance is less than 80 years old..during the early days of insurance here the business was handled by private companies which were only branches or agencies established in Europe and India.these companies considered East Africa as one business zone and preferred to operate from Kenya..in the early 1940s,foreign companies began to open branch offices in Tanganyika,1967,government passed THE INSURANCE (VESTING OF INTERESTS AND REGULATIONS)ACT,1967...1970s tukaanza produce wataalam wachache wa bima,the process went on mpaka in early 1980s ambapo wataalam wakaongezeka na 1990s Institute of Finance Management wakaanza toa masomo ya insurance ngazi ya cheti mpaka diploma,2010 wameanza toa bachelor degree ya insurance!kwa mantiki hii ya jinsi ya ukuaji wa insurance napenda kusema tupo katika transition period na siku si nyingi watanzania tutaliteka soko la bima kwani uwezo tunao na elimu tunayo!napenda kusema kwamba wahindi wengi waliopo katika sekta hii ni vihiyo na wanaofanya kazi kwa uzoefu na mazoea!mameneja wengi wahindi wana vyeti vya kwao india ambavyo ni sawa na vinavyotolewa IFM....watanzania si wavivu bali wanjihisi wavivu!
 
LOCAL workers in the insurance sector are up in arms with their employers over alleged favouritism towards foreign employees.

In a four-page electronic mail dated February 2, this year, sent to the Commissioner of Tanzania Insurance Regulatory Authority (TIRA), Mr Israel Kamuzora, the local employees complained that Kenyans and Asians are favoured - often occupying high-ranking positions at the expense of the locals.

"It is a well rooted syndicate involving most private foreign insurance firms and brokers. They only consider nationalities from Kenya and Asia for higher posts in their companies," they charge in the letter.

The disgruntled workers stressed that they were not complaining just out of envy or low understanding, but rather due to mistreatment by their foreign employers.

"Whenever there is a vacancy for a managerial position, they (the employers) usually allege that there are no qualified Tanzanians to fill it," the letter reads in part.

Mr Kamuzora is also understood to have written to the Association of Tanzania Insurers Chairman (TIA), Mr K. V. Krishnan, regarding the issue and proposed a meeting between the parties involved.

"I have been receiving anonymous messages with serious allegations against insurance employers in our industry. The whole issue is about foreigners and us the locals," reads part of the letter to Mr Krishnan.

In the letter dated February 8, 2011, Commissioner Kamuzora proposed a meeting between players in the industry in the quest to address the matter. "It will be very grateful if all of us shall give this matter, the weight it deserves," Mr Kamuzora wrote.

Whether that meeting was convened or not is still unclear but Commissioner Kamuzora told the 'Daily News' in an interview that there would be a meeting on April, 1, this year, to discuss the issue.

"It is true that there have been complaints from local Tanzanians in the sector. This will come up for discussion on April 1 where all respective stakeholders will be present," Mr Kamuzora said on the sidelines of an occasion to launch the Social Security Regulatory Authority (SSRA) in Dar es Salaam recently.

The workers cited one of the insurance firms which, on its top ten managerial posts, only one position is occupied by a Tanzanian.

"We (Tanzanians) could have our weaknesses. We don't want to be favoured but fair treatment is crucial," they pointed out in their letter, worried to mention their names for fear of being victimized.

According to the latest insurance performance report of 2009, the total insurance industry workforce as at the end of 2009 consisted of a total of 2,545 members of staff, compared to 2,604 in 2008.

This decrease, the report states, was mainly attributed to a massive staff retrenchment exercise carried out by NIC (National Insurance Corporation) during the year under review, as part of its on-going restructuring initiative.

Out of these, 886 employees (34.8 per cent) were working in insurance companies (2008: 38.8 per cent), while 1,659 (or 65.2 per cent) were engaged in insurance agencies, broking houses and loss assessors and adjusters' firms.

At the end of December 2009, the sector grew by 21.2 per cent to 231.2bn/- from 190.9bn/- in 2008.

In the report, Mr Kamuzora cited lack of facilities in the country for training professionals in the field that have direct bearing to the development of the industry including, actuarial science and other related risk management studies, as among the challenges afflicting the sector.

During the period under review, the largest share of general insurance business 24.5 per cent was held by Alexander Forbes (T) Limited followed by AON Tanzania Limited, 17.7 per cent and MIC Global with 15.6 per cent.

The three handled about 58.0 per cent of the entire general insurance broking industry business, while the rest transacted the remaining 42.0 per cent.

check hii http://www.freefilehosting.net/telem_1
 
Back
Top Bottom