dunia tunapita
JF-Expert Member
- Aug 15, 2012
- 356
- 61
jamani anayejua taratibu za chuo hiki,,, kufanya registration kwa First yr walisema mwisho tar 5/10.
Kuna mtu amechaguliwa apo bachelor na hajariport had saiv, ameplan kufanya next friday tar 21/10 mana amepata ishu ya kusimamia pepa ya form 4 na hivi hakupata mkopo akaenda kusimamia.
Mliopo hapo au kama ulipita hapo,em nijulisheni kama watam register!