Instant cure for menstrual cramps

Hahaha!Wataogopa!Wenyewe wanadhani wananipiga sound kumbe mchungaji anawachora tu!
We binti mrembo unahangaika na kibabu hichi,unajuwa gharama ya kutengeneza bustani ikafanana na ya White house ya Obama ?yote kwa kunirusha wiki moja ? na kwakuwa tutaonana napotengeneza bustani labda mengine yanaweza fuata lakini yote ni ukitaka mwenyewe.
 
hahahah sisi vibabu tunazoefu wa kutekenya kuliko njia vijana!
 
We binti mrembo unahangaika na kibabu hichi,unajuwa gharama ya kutengeneza bustani ikafanana na ya White house ya Obama ?yote kwa kunirusha wiki moja ? na kwakuwa tutaonana napotengeneza bustani labda mengine yanaweza fuata lakini yote ni ukitaka mwenyewe.
Kumbe mpango mzima sio bustani kuna mengine umeficha?Alafu uzee sio hoja wewe....usidanganyike kabisa!
 
Hakuna kitu!
taarifa za kiintelijensia zinanionyesha kuwa Masa ni mganga wa kienyeji pale Wete.
Hahahaha!Sasa angekua mganga kweli ndo haswaa ungetakiwa ukae chonjo kabla hajakukorogea dawa!!Ila hao wanaIntelijensia wako wanakuzingua tu!
 
Hivi nyie nia yenu Mchungaji anikimbie au mimi nimkimbie????:eyeroll1:
Kuna ule msemo 'if you love someone let her/him free if there is love her/him will come back' sasa inabidi mchungaji ajiamini kiasi cha kuku-set free.
 
Hahahahaha!you made my day!Baba mchungaji hana wasiwasi...anajua hata nikiondoka leo ntarudi kesho!
 
Back
Top Bottom