Installing .sisx file in nokia E90.

sijui nini

JF-Expert Member
Sep 29, 2010
2,553
1,285
Habari wanajamvi,
waungwana naomba mnisaidie kuinstall apps mbalimbali kwenye hii simu nokia E90, maana nimekwama. Kila app ya .sisx file ninayotaka kuinstall inanipa error "file corrupt" ..ila apps za .jad na .jar zinakubali vizuri tu..nimejaribu kutafuta hacks za kuinstall unsigned apps but zote zinataka niisntall kwanza file za sisx ndo nifanye hacking tatizo hizo sisx ndo hazikubali sasa...msaada...
 
kabla ya kusema file za sisx hazikubali hebu nenda ovi.mobi kadownload kitu chochote cha symbian
 
kabla ya kusema file za sisx hazikubali hebu nenda ovi.mobi kadownload kitu chochote cha symbian

vizuri download theme then lete feedback
 
kabla ya kusema file za sisx hazikubali hebu nenda ovi.mobi kadownload kitu chochote cha symbian

vizuri download theme then lete feedback
nimejaribu mkuu bali kila ikianza kuinstall inasema file corrupt..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom