Installation ya TV channels zingine kwenye decorder ya Dstv!

Kilembwe

JF-Expert Member
Aug 19, 2009
2,056
1,598
Wana JF habari za asubuhi,
Tafadhali naomba msaada, hivi inawezekana ku install free TV chanels zingine kama ITV and the like kwenye decoder ya DSTV? mimik huwa nalipia DSTV Compact plus lakini local channel ninayopata ni TBC1 pekee, na ki ukweli nimechoshwa na madudu ya TBC 1. Sasa kuna jamaa yuko maeneo ya Mikumi National Park, yeye aliniambia wao wana access local channels kama ITV na EATV kupitia decoder ya DSTV! Msaada kwa wanaofahamu please!
 
Mimi sio mtaalamu sana!ila inabd uwe na LNB ambayo itakupatia local channels,pia dish la dstv ni dogo,local channel kama itv inapatikana kwenye dish la futi 6!
 
Asante ninalo Dish la futi 6 na hapo mwanzo nilikuwa napata ITV na Channels zingine vizuri tu, lakni yapata miezi mitatu sasa huku kwetu Morogoro Local Channel zote hazipatikani kwenye Dish la futi 6, ila TBC 1 tu na Star TV tu tena kimagumashi!
 
ni kweli lakini kwa sasa zimeludi hewani fanya seting upya
 
Wana JF habari za asubuhi,
Tafadhali naomba msaada, hivi inawezekana ku install free TV chanels zingine kama ITV and the like kwenye decoder ya DSTV? mimik huwa nalipia DSTV Compact plus lakini local channel ninayopata ni TBC1 pekee, na ki ukweli nimechoshwa na madudu ya TBC 1. Sasa kuna jamaa yuko maeneo ya Mikumi National Park, yeye aliniambia wao wana access local channels kama ITV na EATV kupitia decoder ya DSTV! Msaada kwa wanaofahamu please!

iyo aiwezeka nenda ting au funga dish kubwa
 
Back
Top Bottom