Installation ya modem ya vodacom k3570-z

Jeff

JF-Expert Member
Sep 26, 2009
1,293
199
Nimenunua modem ya vodacom k3570-Z lakin inagoma kuconnect internet baada ya kuinstall,msaada tafadhali
 
Mkuu hujasomeka vizuri. Na-assume unamaanisha imegoma ku-connect kwa kutumia software ya Join Air. Tatizo hili lilinitokea hivi karibuni niliponunua modem ya voda. Fuata maelekezo yafuatayo: install software inayokuja na modem, lengo hapa ni kuinstall drivers za hiyo modem. Hatua inayofuata ni ku-unistall hiyo software. Then, install software ya Join Air na uanze kuitumia.Kuna mchezo Voda wamefanya kwenye ile software inayokuja na modem. Usitegemee Join Air ita-connect kama ile software yao inayokuja na modem haujai-unistall.
 
Mkuu sijakusoma pia,mi nimepewa modem tu,hizo software zingne zinapatikana wapi? Na kwenye menu wameelekeza namna ya kuinstall nimefuata maelekezo hayo imekubali installation lakin connection inakataa
 
simplest method: create a dial up connection. go to network settings and create a new connection. choose dial up connection and a window will display lists of available modems. choose ur zte modem then kwenye dial number weka *99# paswrd na username acha blank. connection name chagua unalopenda then click connect. voilaaa!
 
Back
Top Bottom