Installation Of Network Printer

Buswelu

JF-Expert Member
Aug 16, 2007
1,998
352
Hi JF

Kuna office mpya tunaanzisha...Mie sio mzuri sana..nahitaji guidence kuhusu ku install Network printer.Tuko na LAN hapa ya internet ambayo kila mtu anaweza plug computer yake to wall akapata internet also tuna wireless.

Sasa nahitaji tuwe na one point printer ambayo kila mtu atakuwa ana print from desktop yake...What do i Need to have?What set up of nextwork should I look ambayo inatakiwa kuwepo ili zoezi hili liwe rahisi?

Ni lazima kuwa na tofauti ya printer kwa mana printer hiyo lazima iwe network printer?From manufacture?

Msaada Pls.
 
Just read the documentation of the printer ambayo hujasema ni brand na mdel gani .sababu yenyewe ndo inaweza kukupa idadi ya option unazoweza kutumia

OPTION A:

  • Network printer inaweza kuwa connected na moja ya kompyuta katika lan Yako then ikawa shared. Ina maana watu wengine ku acess hii printer itabidi hii kompyuta iwe ON. hata drivers za hiyo printer itabidi ziwe installed kwenye hii komyuta.
User wengine wakitaka kuadd na kuitumia hiyo network printer kwenye pc zao simple kwenye run type //computername yenye printer au kwenye run type //Ip adress ya kompyuta iliyo host printer . then Aki double clik ile printer basi ikauwa tayari kamaliza

Zoezi hili linafanyika mara moja tu kwenye kila mashine iliyo kwenye LAN na network printer inakuwa added katika kila terminal

OPTION B:

  • Network printer inaweza kuwa ina port ya rj 45 na hivyo yenyewe binafsi kufanyiwa configuration kupewa ip, gateway na subnet adress na kuunganishwa na network point ya LAN yako. Hii itakuwa printer huru haitegemei PC yeyote kufanya kazi.
Kwa option ya kwanza inajibu swali lako . Kwa hiyo printer yeyote ile no matter brand , model inaweza kuwa network printer
 
OPTIONB]

Hii ya pili ndio hasa ninayo taka....Hapa ni printer HP Laser Jet M1522 MFP Series...

Ambayo nataka iwe network via IP Address as hii ya kwanza...inabidi kuwa na parmant computer..kwenye location ambayo upo computer hiyo which siitaji kwa kweli...Hii ya kwanza naweza kufanya lakini natumia laptop yangu ambayo ina anytime naweza chomoka..nayo wakashidwa print..
 
Ok hiyo ya pili inaweza kuwa na path mbili
1.Kwa kufuta documentation ya Printer

manual hii hapa soma kuazia page ya 53 mpaka 56 ina maelezo yote.
http://bizsupport2.austin.hp.com/bc/docs/support/SupportManual/c01100561/c01100561.pdf

Maelezo yao ndani ya connectivity subsection ya configure the network product

kama kunakitu kinakutatiza uliza
.

2. Kwa kutumia windows
ngoja nikutafutie maelezo na mepesi online

Ila kifupi unakuwa kama unisntall add printer ya kawaida lakini kuna sehemu ikija window ya Use the follwoing port wewe unachagua option nyingine ya create a new port. kWenye hiyo option ya create a new port kuna drop down menu unatakiwa kuchagua TCP/ IP port.

But ngoja nikutafutie maelezo mazuri online
 
hapa nakup alink yenye maelekezo
http://www.cartridgesave.co.uk/news/howto-set-up-a-network-printer/
7. ...... Enter an IP address in the IP address field. Port name will be automatically populated. Hit Finish.

Na kujua default IP adress ya printer yako print report . How nenda kwenye menu ya printer then kwenye configuration. print report . Soma manua niliyokupa kama

NB
hii hatua ya saba ni assumpution kuwa kablaa umesha ipa printer yako IP adress. So hakikisha umeipa printer yako IP adress kabla ya kuanza zoezi hili. Na kupia printer IP adress unacheza na rpinter yenyewe sio computer

Last edited by a moderator:
Mtazamaji Thanks for msaada..nilifanikiwa ..na sasa inafanya kazi vizuri kabisa....
 
Njia nyingine ambayo ni nzuri kuliko zote lakini inahitaji gharama ni kununua "USB PRINT SERVER". D-Link wanayo inaitwa DP-301U USB PRINT SERVER, nafikiri ipo around Tshs 100,000-150,000 DSM. Hauhitaji printer yako iwe na RJ-45 port because hii inatumia USB port ya kawaida kama ya flash disk.

1. Just unaiconnect kwenye moja ya port za Router yako
2. Kumbuka kuifanya router yako iwe ina-assign IP address automatically (DHCP) ambayo nafikiri router nyingi za kisasa zinafanya hivyo by default.
3. Kama unatumia windows 7 "kama mimi" Click COMPUTER, then Click Network utaona ki-ICON chake kwenye sub-section ya OTHER DEVICES kimeandikwa PRINT SERVER PS-........
4. Double click hiki ki-icon itakufungulia Window yake
5. Utaona tabs nne juu click ile ya CONFIGURATIONS
6. Click network iliyoko pembeni kushoto mwa window hii.
7. kuna option 2 hapa either assign address automatically au manually tumia manually, then type IP address (e.g 192.168.1.30), subnet mask (e.g 255.255.255.0), default gateway (e.g 192.168.1.1) and DNS Server(s) hii itafute kwenye computer yako ambayo ina internet unapewa automatically na ISP.
8. Click apply to apply changes and you're done.
9. Computer nyingine zinabidi zi-add as a network printer or printer connected to another computer then tumia hii IP address kuadd kwenye hizo computer nyingine.

Hii iko poa mzee because hauhitaji kujua mac address ya printer yako na kwa zile printer.
Kuna mambo mengi unaweza ukafanya na hii kifaa kama vile kuangalia nani ameprint (computer name), mara ngapi ameprint etc

Kama ni mtu wa IT (GEEK) mkuu samahani huenda nitakuwa nimeenda mbali kuelekeza vitu basic sanaaa. Lakini huenda ikawa faida kwa wengine wasio au beginner.

Natanguliza shukrani.
 
Njia nyingine ambayo ni nzuri kuliko zote lakini inahitaji gharama ni kununua "USB PRINT SERVER". D-Link wanayo inaitwa DP-301U USB PRINT SERVER, nafikiri ipo around Tshs 100,000-150,000 DSM. ...............

Ungeadika kuw njia nyigine tu sasa uzuri wake kuliko zote ni nini?
Naamin hata ukifanya evalution analysis ya options zote hii itakuwa ya mwisho

Hii iko poa mzee because hauhitaji kujua mac address ya printer yako na kwa zile printer.
Kuna mambo mengi unaweza ukafanya na hii kifaa kama vile kuangalia nani ameprint (computer name), mara ngapi ameprint etc
Ye kweli hautaji kujua mac adress ya printer hata njia nyingine hautaji kujua mac adress lakini kwenye network mac adress ni kitu muhumi . Kinacho fanyika ni kwamba mac adress inakuwa detected automatically kwenye njia zote. hope unaijua OSI layers

Hii iko poa mzee because hauhitaji kujua mac address ya printer yako na kwa zile printer.
Kuna mambo mengi unaweza ukafanya na hii kifaa kama vile kuangalia nani ameprint (computer name), mara ngapi ameprint etc
Kuangalia nani kaprint au computer gani imeprint page ngapi sa ngapi ni feature ya printer sio hiyo USB so hata njia nyigine unaweza kufanya hivi bila gharama .ni just some few configuration zinahitajika au kuisnatall some free software ya kumonitor printer.
Printer yake yenyewe kama zilivyo printer nyingi zina inbiult logs system anaweza kuangalia mambo mengi tu.

Kama ni mtu wa IT (GEEK) mkuu samahani huenda nitakuwa nimeenda mbali kuelekeza vitu basic sanaaa. Lakini huenda ikawa faida kwa wengine wasio au beginner.
Basi nakushauri usiwe tu unatoa ushauri kwa kuwa ni mpya au kwasababu nijust new technology.mtaaalamu yeyote sio wa IT tu ni muhimu kufanya feasibility analysis au evalution analysis kabla ya kutoa ushauri panapo kuwa na option nyingi.
 
Back
Top Bottom