Insincts/machale/6th sense & intuition...

Mimi nadhani binadamu wote tuna intuition. Kusema kwamba kuna watu hawa experience hii hali nadhani ni sawa na kutokusema ukweli.

Sasa intuition siyo exact science kama nilivyosema hapo awali lakini haina maana huwa haziko sahihi pia. Kuna wakati mtu unapatwa na hisia fulani fulani halafu hayo mambo uliyokuwa unayahisi yanatokea kweli.

Kusema kuna watu hawa experience intuition ni sawa na kusema kuna watu hawaendi haja - iwe kubwa ama ndogo!
kuna wanaodai mabudha na dini hasa za asili huongeza nguvu kwa hii kitu

pia wanausalama(intelligence) wanadaiwa kuwa na instinct ya juu ktk shughuli
zao sababu ya mafunzo fulani fulani wanayopatiwa(not just natural
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
halafu hizi 'intuition au instinct tunazungumzia zaidi binaadamu hapa
lakini wanaofuga wanyama watakwambia mambo meengi mno ya ajabu
mfano nyumba yenye mgonjwa anaekaribia kufa
halafu kuna ngo'mbe na njiwa mfano
kuna ishara kibao....mfano njiwa hukimbia masaa kadhaa kabla mgonjwa kufa
ngo'mbe pia huwa na milio na tabia tofauti msiba ukikaribia.....

hivi mnajua ile Tsunami ya Indonesia......hakuna wanyama waliokufa?
wote walikimbia kabla ya tsunami kuanza.......
na wanasansi wanayo explanation ya hii kitu

@the boss
kwenye ng'ombe na mbwa kuna ukweli
ila mie niliona baada ya msiba
hawa wanyama walichanganyikiwa kama binadamu

ila kwa wafugaji, tunaamini mwenye nyumba akiondoka hata wanyama wa nyumbani kwake huwa wanafahamu na kuomboleza.
Ndo maana lazima ng'ombe huwa achinjwe wakati wa msiba wa mwenye nyumba.

....dahhh, wakuu hebu tuziache hizo story za msiba usiku huu....;)
 
he he he, nyie kwenu hamuongelei msiba usiku??

Sie hatuongelei wale wanyama wasio na miguu afu wana sumu lol

....dahhh, wakuu hebu tuziache hizo story za msiba usiku huu....;)
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
....dahhh, wakuu hebu tuziache hizo story za msiba usiku huu....;)

ha haa haa Mbu acha woga
tunakupa general knowledge.....na wala sio superstitions wala nini
sasa kuna watu kwa mfano wakichacha hata maua na mimea ya majumbani mwao vinasinyaa

na wakipata pesa kila mimea kama majani na maua inastawi na kumeremeta..

kuna watu wanakwambia wakiona aina fulani ya ndege majumbani mwao
hasa wale yangeyange wanakwambia wanategemea kupata pesa siku hiyo au wiki hiyo
hata kama hawana mpango wa pesa kipindi hiko...

the list goes on.........kuna wanawake ukitembea nao
unaweza kupata hata ajali siku yapili
but sio kila mtu.....mtu na mtu........ilimradi kuna meengi hatuyajui
na sayansi haina majibu yoote
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
he he he, nyie kwenu hamuongelei msiba usiku??

Sie hatuongelei wale wanyama wasio na miguu afu wana sumu lol

....hahaha, Nyoka?....halafu imagine leo nimeshinda shamba, jioni wakati tunafunga nyumba ya shamba tukamuona nyoka
ndani....sababu ya kuwahi muda na foleni, tukaamua tumuache humo humo ndani mpaka next week tutaporudi na mafuta ya taa...

Watani wangu wasukuma nadhani wanahuzunika hapa nitachomfanyia huyo mwanaasili wao...
wazee na hekaya za kale tulikatazwa 'nyimbo mbaya' kumuimbia mtoto usiku...
 
huyo huyo ulomtaja
hasemwi usiku
anaweza kutokea wakati wowote.

Yaani mnamwacha nyoka ndani?
Mie siingii hiyo nyumba tena lol

nadhani ni mkusanyiko wa mambo haya ndio zinaleta insincts.

Huko kwetu hata kuimba usiku hapana
mwanamke kupeleka chekula mezani na viatu hapana
zote zinaleta balaa

....hahaha....sasa hapo ushakerana na mkeo kisha anakuletea msosi na malapa...weeee!
 
ha haa haa Mbu acha woga
tunakupa general knowledge.....na wala sio superstitions wala nini
sasa kuna watu kwa mfano wakichacha hata maua na mimea ya majumbani mwao vinasinyaa

na wakipata pesa kila mimea kama majani na maua inastawi na kumeremeta..

kuna watu wanakwambia wakiona aina fulani ya ndege majumbani mwao
hasa wale yangeyange wanakwambia wanategemea kupata pesa siku hiyo au wiki hiyo
hata kama hawana mpango wa pesa kipindi hiko...

the list goes on.........kuna wanawake ukitembea nao
unaweza kupata hata ajali siku yapili
but sio kila mtu.....mtu na mtu........ilimradi kuna meengi hatuyajui
na sayansi haina majibu yoote

...hahaha.....The Boss hiyo ya mw'mke mwenye nuksi nahisi inahitaji
mdahalo wake unaojitegemea, maana kuna wanaosemwa ukiwa nae tu unapoteza kazi, mali, biashara
nk nk....ila ukiangalia sana ni justification ya wanaume kuficha mapungufu yao...

.....na sayansi haina majibu....!
 
Dah hii kitu mbona mi sina kabisaa? Yaani hisia pekee tofauti nlonayo mimi ni ya mapenzi na kumegana tu sa sijui nina matatizo?
 
...worry you not, kila mtu na majaaliwa yake na awezavyo itumia IQ yake.
 
Nilisoma sehemu kuwa:

"As we grow older and experience life, to avoid trauma or negative experiences, we develop a thick skin, sheltering ourselves as we begin to interact with people other than the familiar circle of family and friends. These psychic gifts are often unconsciously left on the shelf, but fortunately they can be restored later life through spiritual development or during life-altering experiences."
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Mbu ndio nini.kuja kimya kimya? Au uliogopa tutakuagiza zawadi? Lolz

BTT. . . .
Hiyo kitu ipo tena sana tu Mbu and honestly hamna kitu najali kama hisia zangu binafsi, though I do try considering others aswell. Nikiwa sifurahii kuwepo sehemu i'll leave in a heartbit, If I feel like being somewhere i'll go bila kupanga au kutoa taarifa huku na kule, nikijisikia kutokua karibu na mtu sitokua karibu nae bila kujali nnachoweza kupata/kukosa kwakufanya hivyo au hata mahusiano yetu,nikitaka kuwa karibu na mtu ntakua nae bila kujali anavuochukuliwa na watu wengine au hata alivyo as long as sina hisia mbaya juu yake.

Nakumbuka niliwahi kwenda sehemu miaka kama kadhaa iliyopita, siku hiyo hiyo nikakutana na kijana mmoja(way older than me)nilieambiwa nikae nae mbali kwa sababu kadha wa kadha (NACHUKIA SANA HII TABIA). Kwasababu binafsi sikua na hisia zozote mbaya nilimpotezea yule aliyeniambia alafu nikawa rafiki na yule nilieonywa juu yake. Mpaka leo na kesho bado naamini siwezi kukutana na mtu mwingine kama yeye na wala sijawahi kujutia. Hua natamani sana nikutane
nae hata kwa bahati nimshukuru maana we lost contacts.

Yani, kweli he was bad news for most people around there but he was something else to me. I was sooo very young, extremly naive AND, in a position exploited in so many ways but he never took advantage of me. He was a best friend and more than a brother to me. Na jina langu la Lizzy alianza kuniita yeye. . . ngoja siku moja ntajaribu kumtafuta. Sijui yuko pande gani ya hii dunia sasa hivi.

Kwahiyo Mbu lawama wala zisikupe wasiwasi. . .wewe fanya kile unachohisi ni sahihi ili hata ukikosea uishie kujilaumu mwenyewe na sio mtu mwingine.
 
.."....restored through spiritual development or life-altering experiences" aiseee, nimeipenda hii,thanks kiongozi...
 
Hah.....Lizzy ujue excess baggage inalipiwa €155.00 on the spot tena per kilo aisee..Well, nimepapenda pale
uliposema considering others as well...Dahhh.... "do they consider me as Well? I doubt!"...
kuna watu they all take note wakiskia unarudi, wakuagize zawadi...au ukiwa around aka Spongers!
Mahusiano kama hayo ya 'pay-as-you-Go!' yanani bore vibaya sana....

Back to the Topic...thanks for your advice bana, will definately fanya yale tu roho inataka...
 
Back
Top Bottom