Mbu
JF-Expert Member
- Jan 11, 2007
- 12,753
- 7,839
.....d'u belive hiyo makitu hapo juu?....
Unaipa/ unayapa nafasi gani katika maamuzi ya matendo yako?
Hebu tubadilishane mawazo aisee...
Huenda nazeeka vibaya, au sijui ndio mid life crisis....lakini
miaka ya hivi karibuni nimejikuta najali zaidi hisia zangu kwanza,
kisha matakwa ya huyu, yule au wale walitakalo toka kwangu...
Na hiyo haijalishi muda, au kitu....mpaka ninapojiskia (mfano) kuonana
na mtu ndipo ninapomtafuta, otherwise...inafikia wakati hata watu wangu wa karibu
'kulaumu' siwajali...
Ni uzee huu, au? MTM, Aspirin, EMT, Tuko, AshaDii, MwanajamiiOne, kakakiiza, Teamo,
Firstlady1, bigirita, Lizzy, Nyamayao...Afrodenzi, bht, et al....nisaidieni mawazo na ushauri
'wazee' wenzangu....BAK, umepotea sana aisee...Klorokwini usilete maskhara aisee
..lol