Inogile Mkangafu

Hiyo kitu imenikumbusha katikati ya miaka ya tisini zama zangu za boarding school, nipo Tosa boys tulikuwa tunatoroka jioni kwenda kijiji cha Ipamba, Idete na Kalenga kwenda kupata kakinywaji hako mweee. Ukichanganya na niangusage sambi zako mwenyewe ukitoka huko mwepesiiiiiiiiiii.

Wakati wa mchana kama ikitokea ni zamu yako kuchunga ng'ombe basi ilikuwa poa sanaaaa.....kama kawa kama dawa.

Big up sana kwa vyoo vya Half Mile.
 
Back
Top Bottom