Elections 2010 Innovation kwenye Kampeni

Mkimbizi

JF-Expert Member
Aug 23, 2008
222
34
Hii kwanza imenishtua, nikajenga attention, then ikanifurahisha... Very creative wanted.JPG
 
Poster1.jpg

Mkiwachagua wale wale mnaowachagua siku zote, mtasahauliwa vile vile wakati wote mambo mapya hutaka watu wapya, Nichague niwe mtumishi wako AMUA leo AMUA sasa, AMUA maana yake ni Afya, Maji, Uwajibikaji na Ajira.

Diwani mtarajiwa
Hassan Yahya Hussein

source Michuzi
 
ningekuwa kwenye eneo lake ningemchagua kuwa diwani regardless ya kazi ya baba yake....
watu wengi wanampiga madongo kwa ajili ya kazi ya baba yake....

hata ujumbe wake umekaa vizuri, kuna wabunge hawana kauli mbiu kabisa
 
tehetehe
sasa utabili wa baba yake ukoje? atashinda?
 
Back
Top Bottom